Ulinzi ukiimarishwa Baada ya watuhumiwa wa ujambazi kufikishwa mahakamani
Mbele ni mshitakiwa wa nne Mbaruku Hamis akiingia mahakamani
Kutoka kushoto ni mshitakiwa wa pili Elinanzi Eliabu Mshana, Mshtakiwa wa nne Mbaruku Hamis, Mshita kiwa
wa tatu Juma Mussa ambaye aliyekuwa Askari Magereza kwa Cheo cha Sajini
, Anaefuatia ni Mshtakiwa wa kwanza PC James aliyekuwa Askari Polisi
Wilaya ya Mbeya, na wa mwisho ni Mshitakiwa wa Tano Amri Kihenya .
Wa kwanza kushoto aliye vaa shati la Draft ni Dereva Ezekia Matatila (34) pamoja na wasikilizaji
Moja ya Gari lililotumika kufanya uharifu wa unyang'anyi wa kutumia silaha
Washitakiwa wanne kati ya watano kutoka kushoto juu hadi wa nne wakiwa wanatoka mahakamani chini ya ulinzi mkali.
Mwenye Jaketi la Njano ndiye Mshitakiwa namba moja PC James
Katikati
ni Mke wa mshitakiwa wa tatu ambaye ni Askari Magereza Sajini Juma
Mussa, Hata hivyo mwanamke huyo alizirai mahakamani wakati mumewe akiwa
kizimbani.
**********************************
No comments:
Post a Comment