Mmoja
wa wafanyakazi katika ofisi ya Mhandisi wa manispaa ya Dodoma akitoa
amri ya kuondoa kimoja ya vibanda vilivyojengwa kiholela katika stendi
ya daladala Jamatini wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa vibanda vya
wafanyabishara.
Mhandisi
masaidizi manisaa ya Dodoma Luanda akitoa maelekezo kwa mama lishe
waliopo katika stendi ya Daladala ya Jamatini kujenga vibanda sawa na
vipimo vilivyowekwa sawasawa na utaratibu na sheria ndogo ndogo za
manispaa hiyo.
Mwajuma
Salum maarufu Bibi Ndonga (64) akimlalamikia kwa kumuonyesha Mhandisi
msaidizi wa manispaa ya Dodoma Luanda stakbadhi ambazo amekuwa akilipia
katika kipindi cha miezi miwili bila kukabidhiwa eneo la kuweka kibanda
chake cha biashara na viongozi wa eneo hilo mhandisi huyo alifika kuona
utaratibu uliotumika kujenga vibanda vya biashara.
Asikari
wa kutuliza Ghasia wakiwa na mtutu wa Bunduki kusimamia uhakiki wa
vibanda vya wafanyabiashara katika stendi ya Daladala Jamatini Dodoma
kama utaratibu uliyowekwa ulifuatwa wakati wa ugawaji na ujenzi.
PICHA NA JOHN BANDA, DODOMA PAMOJA BLOG
No comments:
Post a Comment