Mabondia
Abuu Said wa JKT akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adolf
Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoendelea
katika uwanja wa ndani wa taifa Said alishinda mpambano huo na kuingia
fainali Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za
Ridhaa Nchini BFT walipewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi
karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya
makabidhiano rasmi na kampuni hiyo
Baadhi
ya viongozi wa mchezo wa ngumi nichini wakifuraia jambo wakati wa
mashindano ya taifa ya ngumi yanayo endelea katika uwanja wa ndano wa
taifa kutoka kushoto ni Meja Rodgers Daudi ambae pia ni refarii na jaji
wa mchezo wa masumbwi Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha
Voniatis na Katibu mkuu wa chama hicho Makore Mashaga Picha na SUPER D BOXING NEWS |
VIONGOZI WAKIFATILI MCHEZO WA MASUMBWI UNAVYO ENDEREA
Mabondia Bosco Bakari wa JKT kushoto
akioneshana umwamba kutupiana makonde na Atanas Emanuel wa Kigoma wakati
wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoenderea katika uwanja wa ndani wa
taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Babu Luda wa Morogoro kushoto na Victor Njaiti
wa JKT wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya
wazi ya ubingwa wa taifa yanayo enderea uwanja wa ndani wa taifa Njaiti
alishinda mpambano huo na kuingia fainali Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Fred Julius wa Kigoma kushoto akitupiana makonde na
Robert Kyaruzi wa Bukoba wakati wa mashindano ya Taifa ya mchezo wa
masumbwi nchini yanayo enderea katika uwanja wa ndani wa Taifa Kyaruzi
alishinda kwa K,o ya raundi ya pili Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Babu Luda wa Morogoro
kushoto na Victor Njaiti wa JKT wakioneshana umwamba wa kutupiana
makonde wakati wa mashindano ya wazi ya ubingwa wa taifa yanayo enderea
uwanja wa ndani wa taifa Njaiti alishinda mpambano huo na kuingia
fainali Picha na SUPER D BOXING NEWS
No comments:
Post a Comment