Waziri
mkuu mstaafu Fredrick Sumaye akizungumza katika harambee ya ujenzi wa
ukumbi wa kisasa wa kanisa katoliki Parokia ya Maonano Mawela jana.
Waziri
mkuu mstaafu Sumaye pamoja na mshereheshaji wa shughuli hiyo Godwin
Gondwe wakijadiliana jambo na mmoja wa wajumbe wa kamati ya harambee ya
Ujenzi wa ukumbi huo wa kisasa Anthony Komu.
Waziri
mkuu mstaafu Sumaye akimkaribisha Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini Dk
Cyril Chami kuchangia katika harambee ya Ujenzi wa Ukumbi wa kisasa
katika kanisa katoliki Parokia ya Maonano Mawela .
No comments:
Post a Comment