Mshtakiwa
Elizabeth Michael |(17), ' Lulu' (mwenye nguo nyekundu, )akiteremka
ngazi huku akiwa chini ya ulinzi mkali baada ya kupandishwa Kizimbani
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Aprili
23.2012 ambapo kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutajwa. Kwa mujibu wa
Wakili wa Serikali, Elizabeth Kaganda mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama
hiyo, Rita Tarimo ni kuwa upelelezi bado haujakamilika na mtuhumiwa
kurudishwa rumande hadi Mei 07 mwaka huu itakapotajwa tena. PICHA/DAILY MITIKASI BLOG |
No comments:
Post a Comment