Mwanafunzi wa Chuo cha
Usimamizi wa Fedha (IFM), Leon Haule (kulia) akitoa maelezo kwa mgeni rasmi
kuhusu umuhimu wa Social Protection wakati wa maadhimisho ya siku ya Taaluma
kwa Vyuo vikuu liliyofanyika Makumbusho ya Taifa kwa udhamini wa Tigo
Mwanafunzi wa Chuo cha
Usimamizi wa Fedha (IFM), Josephine Douglas(kulia) akitoa maelezo kwa mgeni
rasmi kuhusu umuhimu wa Social Protection wakati wa maadhimisho ya siku ya
Taaluma kwa Vyuo vikuu liliyofanyika Makumbusho ya Taifa kwa udhamini wa Tigo
Mwenekiti wa Bodi wa Chuo cha
Usimamizi wa Fedha (IFM), Charles Nyoni (katikati) akikata utepe wakazi wa
ziara ya kuzungukia vibanda vya maonyesho wakati wa maadhimisho ya siku ya
Taaluma kwa Vyuo vikuu liliyofanyika Makumbusho ya Taifa kwa udhamini wa Tigo.Kushoto
ni Mkuu wa Chuo cha IFM, Profesa Mjema na Mwanafunzi wa Chuo hicho, Dorthea
Msofe.
No comments:
Post a Comment