Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii Dkt Hussein Mwinyi alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe
ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu
(SHIVYAWATA) Bw. Amon Anastaz akisoma risala kwa kutumia braille katika
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kwenye
sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongeza baada ya kupokea risala toka kwa
Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu
(SHIRYAWATA) akisoma risala kwa kutumia Braille huku mkalimani wa lugha
ya alama akifanya kazi hiyo (kulia) katika viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe
ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 akiwa mgeni rasmi kwenye
sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Makamu Mwenyekiti wa
Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIRYAWATA) akiwa na Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi pamoja na Mwenyekiti wa
(SHIVWATA) baada ya kuhutubia katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es salaam leo Novemba 3, 2013 kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye
Ulemavu Duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa cheti kwa Bw. Frederick
Msigallah wa CCBRT katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
leo Novemba 3, 2013 kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa cheti kwa niaba ya TBC Mtangazaji
mahiri wa stesheni hiyo ya Taifa Bi. Amina Mollel katika viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kwenye sherehe ya
Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi hati mwakilishi na Mtangazaji wa
ITV katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3,
2013 kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
No comments:
Post a Comment