Mkurugenzi
Smile Tanzania na Uganda Fiona McGloin ( katikati) Kushoto Deo Ndejembi
Mkuu wa Mauzo na Madaha Fancis Mkuu wa Mtandau (Kulia) wakizindua
Smile 4G LTE broadband jijini Arusha
Hon Makamba kwenye uzinduzi ya Smile 4G LTE jijini Arusha akiwa na mkurugenzi wa Smile Tanzania na Uganda Fiona McGloin
For
Immediate Release
Katikakusherekeamwishowamwaka,
Smile inafurahakuwatangaziapromosheniya ‘ZawadiyaKasi’,
promosheniambayobiasharanawatubinafsiwatawezakununua “Mi-FI” ya Smile, kifaa
cha kurushaintanetichenyematumizimengi, saiziyamfukoninakinachotumiabetriiliyojengewandani,
kinachokujanakifurushi cha intaneti cha bure cha kuanzia.
MkuuwaMauzoyamojakwamojawa
Smile, DeogratiusNdejembi, alisema “TunazinduapromosheniyaMi-Fi ambayoitadumukwamiezimiwili,
kwanamnahiiwatuwengizaidiwatawezakufurahiaintanetiya Smile yenyekasizaidikatikamsimuhuuwasikukuukwabeinafuu.
“Biasharanyingi,
marafikinafamiliasiotukwambawanahitajikutumiaintanetibalipiawanazidikutegemeaupatikanajiwaintanetiyenyeuboranakasizaidikatikashughulizao.
Ili kuwasaidiawatuhawa, tunatoavifaavyetuvyakurushiaintanetivyaMi-FikatikabeiyapromosheniyaTsh
149,000 tu.Piatutawekakifurushi cha GB 5 kwenyekifaahicho,” aliongezaBw.
Ndejembi.
Kifaahichochenyeuzitomdogonaukubwasawanasimundogoyamkononihufanyakazikama
modem napiaMi-Fi inawezakuunganishampakavifaa 8 kwenyeintanetikwawakatimmoja;
vifaahivivinawezakuwa tablet, komputampakato,
simuzamkononinavifaavinginevyenyeuwezowakuunganishaintaneti.
"KwakutumiaMi-Fi
watumiajiwanawezakuchangiaintanetiyenyekasiya Smile 4GLTE wakiwaofisini,
nyumbani au wakiwanjiani. Masaayamawasilianobilayabugudhasasayanawezekanakwakutumia
Smile Mi-Fi, ambayoinabetriinayokaamudamrefumpakamasaa 8
yamatumiziyakawaidayaintaneti" alisemaBw.Ndejembi.
Smile Mi-Fi inamuundowakuvutianawakisasa.
Kioochakekinaruhusumtumiajikuonakwaurahisihaliyamawasiliano,
matumiziyakifurushi, nguvuyamawasiliano, kalendanamuda.
Kutumiakifaahikinirahisi, “chomekanatumia” (Plug and Play), nahakihitajikuwana
program yoyoteilikiwezekufanyakazi.
"Tuna
furahakubwakutangazapromoshenihii,
nakutoanafasikwaWatanzaniazaidikujioneakasinaufanisiwamtandaowetuambaounaendasambambanamitandaoyenyekasidunianiilikuendananamahitajiyanayobadilikayajamiiyaWatanzania”
alisema Fiona McGloin, Menejawa Smile Tanzania na Uganda.
------ MWISHO ---------
KUHUSU SMILE COMMUNICATIONS
TANZANIA
Smile Communications Tanzania nisehemuya Smile Telecoms
Holdings Limited (Smile), ambayoilianzishwamwaka 2007 nchini Mauritius. Smile
Telecoms Holding inafanyabiasharanchini Tanzania, Uganda,
JamhuriyaKidemokrasiayaKongo (DRC) Nigeria naAfrikaKusini.
Katikamasokoyakeyote, Smile imekuwamuanzilishikatikakutumiateknolojiazakisasa,
kama vile 4GLTE ilikuongezakasiyaupatikanajiwaintanetinakujipenyezakatikasoko.
Witonamalengoya Smile nikutoahudumazamawasilianozilizo bora,
rahisikutumianazagharamanafuukwakilamtukatikabara la Afrika,
kwakutumiaubunifuwakibiasharanateknolojiazakisasazenyegharamanafuu.
Kwamaswaliyavyombovyahabari:
MuffadalEssaji
Head of Marketing, Smile Communications
Tanzania
Barua-pepe:
muffadal.essaji@smilecoms.com
Tel: + 255 (0) 758 811164
TovutiyaSmile: www.smile.co.tz
Facebook: www.facebook.com/SmileComsTanzania
https://twitter.com/SmileComsTZ
No comments:
Post a Comment