Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimlaki Makamu wa Rais wa
China, Li Yuanchao alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere
Dar es Salaam kwa ajli ya ziara ya siku sita nchini.Yuanchao amewasili
jioni hii kwa ndege ndogo ya kukodi akitokea Arusha ambako jana alitua
Uwanja wa Ndege wa KIA.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Uanchao akikagua gwaride huku akisindikizwa na Makamu wa Rais Dk. Bilal
Bendera za Taifda za Tanzania na China zikipepea Uwanja wa Ndege
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke (Sofia Mjema (kushoto) pamoja na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mkangala wakisubili kumlaki Makamu wa Rais wa China usiku wa leo Uwanja wa Ndege.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Dk. Bilal akiwa na mgeni wake Yuanchao wa China
Yuanchao akisalimiana na baadhi ya viongozi waliofika kumlaki
Yuanchao akiwapungia mkono wasanii wa ngoma za utamaduni waliotumbuiza katika hafla ya mapokezi
Kikundi cha sanaa ikiktumbuiza wakati wa mapokezi ya Yuanchao. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

No comments:
Post a Comment