Jukwaa
litakalotumika kwa masuala ya burudani kuanzia leo Juni 14 hadi 22
ndani ya Ngome Kongwe katika ukumbi wa Mambo Club linavyoonekana muda
huu kwenye hatua ya mwisho kuelekea ufunguzi rasmi saa moja jioni.(Picha
na Zainul Mzige modewjiblog)
Opening Night: Mandela: Long Walk to Freedom
June 14th 20:20 Old Fort Ampitheatre
Opening Night Concert:
June 14th Mambo Club
Tamaduni Music (Tanzania) followed by BODY, MIND & SOUL (Malawi)
Mwandishi
wa gazeti la Tanzania Daima, Andrew Chale akiwa kwenye ukumbi wa Mambo
Club - Ngome Kongwe visiwani Zanzibar. Kulia ni baadhi ya raia wa kigeni
wakivinjari kwenye viunga hivyo.
Sehemu maalum itakayokuwa ikitoa huduma wa chakula na vinywaji.
Music
Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala (mwenye t-shirt ya blue) akiongoza
baadhi ya wasanii kuelekea jukwaani kwa ajili ya mkutano mfupi na
waandishi wa habari waliowasili mchana huu.
Afisa
Mawasiliano wa ZIFF, Hassan Musa “Has T” akiwatambulisha wasanii
watakaotoa burudani leo kwenye ufunguzi wa Tamasha la 17 la filamu la
nchi za Majahazi ZIFF kwenye mkutano mfupi na waandishi wa habari
(hawapo pichani).
DJ
maarufu Kahlil Jacobs-Fantauzzi kutoka Puerto Rico(kushoto) akiwaeleza
waandishi wa habari (hawapo pichani) namna atakavyosugua sahani za
muziki usiku wa leo. Wengine ni wanamuziki wa kundi la BODY, MIND &
SOUL kutoka Malawi.
Music
Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akifafanua jambo kwa waandishi wa
habari (hawapo pichani) wakati wa kuwatambulisha wasanii watakaotoa
burudani kwenye ufunguzi wa tamasha hilo.
Kutoka
kushoto ni Afisa Mawasiliano wa ZIFF, Hassan Musa “Has T”, Andrew Chale
kutoka Tanzania Daima, Festo Polea kutoka Mtanzania pamoja na Music
Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala wasikiliza vionjo kutoka kwa wasanii
wakati wa utambulisho.
Picha ya pamoja na Ma-DJ's na wasanii watakaotoa burudani leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014.
Wasanii wa kundi la BODY, MIND & SOUL kutoka nchini Malawi wakiwa na mmoja wa wapiga picha wa ZIFF (katikati).
Ma DJ's watakaotoa burudani siku zote za tamasha la ZIFF 2014.
Wasanii wa muziki wa HIP HOP kutoka kundi la TAMADUNI MUSIC nao watakinukisha usiku wa leo.
Lango kuu la kuingia Ngome Kongwe patakapofanyika tamasha la ZIFF 2014 linavyoonekana muda huu.
No comments:
Post a Comment