Kikosi cha Timu ya Taifa Taifa Stars.
Kiungo
Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mrisho Ngassa, akiwatoka mabeki wa Benin,
wakati wa mchezo wa Kimataifa wa kirafiki uliochezwa jioni ya leo kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Stars iliibuka
kidedea kwa kuichabanga Benin mabao 4-1. Bao la kwanza lilifungwa na
Nadir Haroub 'Canavaro', la pili, Amri Kiemba, la tatu Thomas Ulimwengu
na la nne, Juma Luizio.
Mshambuliaji wa Stars, Juma Luizio, akitupia bao la nne.
Beki wa Stars, Shomari Kapombe akijiandaa kumimina Krosi...
Mashabiki wa Stars ilikuwa ni full shangwe....
No comments:
Post a Comment