Mkuu
wa Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile akizungumza na wafanyakazi wa benki ya
Stanbick jana wakati alipotembelea banda lao katika maonesho ya wadau
Gesi na Oil yanayoendelea mkoani Mtwara.
Mkuu
wa Mkoa wa Mtwara Wilman Ndile akizungumza na Ofisa wa Kampuni ya
Magazeti ya Serikali TSN, Francis Kihinga wakati walipokutana kwenye
mkutano wa wadau wa gesi unaoendelea mkoani Mtwara, TSN ni moja kati ya
wadhamini wa mkutano huo.
Baadhi
ya wananchi waliojitokeza kwenye maonesho ya bidhaa za wadau mbalimbali
wa madini yaliyofanyika sambamba na mkutano huo. Maonesho hayo
yalifanyika katika umbi wa Mikutano wa Chuo cha Veta Mtwara wakati
Mkutano wa wadau ulifanyika katika hoteli ya Naf.
Afisa
Matekelezi wa NSSF mkoani Mtwara, Jamila Mfanga akimkabidhi wa Mkuu wa
Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile vipeperushi vya bidhaa zake.
Picha na wadau.
Mkuu
wa Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile (kushoto) akiangalia bango la mafunzo
ya Chuo Kikuu Huria ambao walifungua chuo chao mkoani humo, nao walikuwa
ni baadhi ya waliojitokeza kwenye maonesho hayo pia pembeni yake ni
Makamu Mkuu wa Chuo hicho Tolly Mbwete.
Mkuu
wa Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile (kushoto) akiwaonesha baadhi ya wageni
waliohudhuria mkutano wa kujadilia masuala ya gesi na Mafuta unaoendelea
mkoani Mtwara, katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta
binafsi nchini (TPSF) Godfrey Simbeye pembeni Mwenyekito wa Bodi ya
Ushauri wa Madini, Richard Kasesela.
MAKAMU WA RAIS DKT.
BILAL AKUTANA NA WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI KWA MAZUNGUMZO JIJINI DAR ES
SALAAM.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo
pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana
kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari wakati
alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, Deodatus
Balile na Mhariri wake, Jackton Manyerere (kulia) mara baada ya
kumalizika mazungumzo na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari
yaliyofanyika kwenye Makazi ya Mhe Makamu wa Rais Oysterbay, jijini Dar
es Salaam, jana usiku.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Wahariri wa Gazeti la Mwananchi mara baada ya
kumalizika mazungumzo na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari
yaliyofanyika kwenye Makazi ya Mhe Makamu wa Rais Oysterbay, jijini Dar
es Salaam, jana usiku.
Mhariri wa gazeti la Jamhuri, Jackton Manyerere, akichangia mada wakati
wa mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, yaliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay
jijini Dar es Salaam, jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wahariri hao baada ya mazungumzo.
Make Money at : http://bit.ly/adflywin
Make Money at : http://bit.ly/adflywin
MASHINDANO NG'OMBE CUP
YAENDEREA MAFIA MKOA WA PWANI
LIGI ya ng'ombe cup imeimalizika kwa atua ya kwanza baada ya kumalizika
mchezo wa mpira wa miguu baina ya jah fc na bayani fc ambapo katika
matoke bayani ilibuka na ushindi wa magoli 2.0 matokeo hayo yameifanya
bayani kutinga 8 bora ambapo imeungana na timu za rhino,utende
fc,bayan,mfuluni,killas
,jah fc, pince boys, na potwe fc mashindano hayo yataendelea tena
jumatatu taharifa hii kwa niaba ya mwenyekiti wa mashindano ya ngo'mbe
cup mafia kisiwani
mashindano hayo yanafanyika dawe ndege wilayani kilindoni mafia mkoa wa
pwani na kudhaminiwa na diwani wa halmashauli wilaya ya mafia, Msomi
Ally Kuku yataendelea tena jumatatu kwa kuzikutanisha timu mbalimbali
zilizotinga hatua ya 8 bora

Are you looking to make cash from your visitors using popup advertisments?
ReplyDeleteIn case you do, have you considered using ExoClick?