Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, November 5, 2014

RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma leo Novemna 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa  Mazungumzo kati ya RaisJakaya Mrisho Kikwete na  wazee wa mji wa Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na  wazee wa mji wa Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Viongozi wakisimama kuimba  Wimbo wa Taifa
 Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
  Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Sehemu ya wazee wakati wa  mkutano wao na  Rais Kikwete mjini Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Meza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Kilimani jijini Dodoma leo tayari kwa mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza na Rais Kikwete  maswala kadhaa ya maendeleo.
Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo tayari kwa  mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye masuala kadhaa ya maendeleo. 
Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo tayari kwa  mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye masuala kadhaa ya maendeleo. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...