Mshambuliaji
wa Simba, Emmanuel Okwi akishangilia bao aliloifungia timu yake wakati
wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Polisi ya Morogoro
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni
Ramadhani Singano 'Messi'
Golikipa
wa Polisi Morogoro, Abdul Ibad akijaribu kuokoa bila mafanikio kiki
iliyopigwa na mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam.

Dar es Salaam leo.
Okwi akiipangua ngome ya Polisi Moro.
Mshambuliaji
wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Polisi Morogoro, Lulanga
Mapunda wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji
wa Simba, Amisi Tambwe akiwa katikati ya wachezaji wa Polisi Morogoro,
Lulanga Mapunda (kushoto) na golikipa wa timu hiyo, Abdul Ibad wakati
wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam.

Kipa wa Polisi Moro akipata matibabu baada ya kuuimia.Picha na Francis Dande,Globu ya Jamii.
No comments:
Post a Comment