Flaviana Matata akikabidhi msaada wa maboya 500 kwa mwakilishi wa
mkuu wa mkoa wa Mwanza, Elias Makori kulia ikiwa ni kumbukumbu ya miaka
16 ya ajari ya meli ya MV Bukoba, anayeshuhudia ni Meneja Masoko na
Biashara wa Shirika la usafirishaji wa majini mkoani Mwanza la Marine
Service,Kapten Obadia Nkongoki. Igoma jijini Mwanza,
Flaviana Matata akishindwa kujizuia na kuangua kilio wakati wa
ibaada ya kumbukumbu ya miaka 16 ya ajari ya meli ya MV Bukoba
alipotembelea baadhi ya makaburi ya watu
waliopoteza maisha katika ajari hiyo yaliyopi Igoma jijini Mwanza,
katika ajali hiyo Flaviana alimpoteza pia mama yake mzazi.
Waombolezaji wengine waliofiwa na ndugu zao wakiombea marehemu wa ajali hiyo |
Flaviana akionesha moja ya maboya yenye nembo ya foundation yake
aliyokabidhi katika kumbukumbu ya miaka 16 ya ajali ya MV Bukoba ikiwa
ni kampeni yake ya kupunguza ajari za majini hapa nchini.
Flaviana na wageni wakiweka mashada kwenye makaburi ya waliofariki kwenye ajali hiyo Igoma Mwanza
No comments:
Post a Comment