Shuhuda
wa ugonjwa wa FISTULA Beatrice Mlunga (kulia) akitoa
ushuhuda wa matatizo alliyoyapata ya ugojwa Fistula wakati wa uzinduzi
wa Kampeni ya Uhamasishaji wa Matibabu ya Fistula Tanzania katika
viwanja
vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam ,Juni 15,2012. Mradi wa Fistula
kwa mwaka inakadiriwa wastani wanawake wapya 2,500 hadi 3000 hupatwa
na ugojwa huo wakati wanapojifungua. Kwa sasa wanawake zaidi ya 31,000
inasemekana wanalo tatizo la Fistula hapa nchini, Hivyo Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete ametoa wito wakina mama wenye matatizo ya Fistula
kuacha kujificha kwani ugonjwa huo unatibika .hivyo waende katika
matibabu
ambayo hupatikana bure katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam
na Hospitali ya Kanisa la ya Kilutheli ya Selian kushoto ni mume wa
shuhuda huyo Hosea
Sanga, (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO). |
No comments:
Post a Comment