Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akimjulia hali, Mbunge wa
Rombo kwa tiketi ya Chadema, Joseph Selasini, alipomtembelea wodini,
katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. Selasini anapatiwa
matibabu katika hospitali hiyo baada ya kuhamishwa kutoka hospitali ya
KCMC ambako alikuwa akitibiwa baada ya kupata ajali ya gazri hivi
karibu.
Selasini na Nape wakifurahia jambo baada ya kutaniana katika masuala ya siasa. Picha: Daily Nkoromo Blog
No comments:
Post a Comment