Umati
wa wakazi wa Jiji la Dares Salaam waliojitokeza katika uzinduzi wa
Tamasha la”WAJANJA”Coco Beach jijini Dares Salaam leo,Tamasha hilo
linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Tamasha hilo litafanyika katika
mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter
bure.
|
Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kevin Twissa
(kushoto)akiwa amepozi kwa picha na Mtangazaji wa Clouds FM,Hamis
Mandi(B12)
|
No comments:
Post a Comment