Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Slaa akufungua semina ya Mpango
wa bima ya Afya unaojulikana kama TIKA uliobuniwa na Mfuko wa Bima wa
Afya (NHIF) inayotolewa kwa madiwani wa Manispaa hiyo inayofanyika
kwenye ukumbi wa Arnautoglo Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam asubuhi
hii, kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa NHIF Bw Khamis Mdee na kulia ni
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Ellias Mwasabwite.
Naibu Mkurugenzi wa NHIF Bw Khamis Mdeeakizungumza katika semina hiyo
kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Ellioth Mwasabwite na
katikati ni Meya wa Ilala Mh. Jerry Slaa.
Wakurugenzi na maafisa kutoka Mfuko wa Bima wa Afya wakiwa katika semina hiyo leo.
Madwani wanaoshiriki katika semina hiyo wakifuatilia kwa makini mada katika semina hiyo.
Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Slaa kushoto ni Naibu Mkurugenzi
wa NHIF Bw. Khamis Mdee na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya
Ilala Ellias Mwasabwite.
Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Slaa kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa
NHIF Bw. Khamis Mdee na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala
Ellias Mwasabwite.
No comments:
Post a Comment