Tume ya Jaji Warioba yakutana na wanahabari kuhusu mabadiliko ya katiba
Mwenyekiti
wa tume ya mabadiliko ya katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba akiwaeleza
waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam jinsi
tume hiyo ilivyokaribia kuanza kwa awamu ya kwanza ya mchakato wa
kushauriana na wananchi katika ukusanyaji na kuratibu maoni ya katiba
mpya. Kulia ni Katibu wa Tume Asaa Rashid.
Baadhi ya wajumbe waTume
ya mabadiliko ya katiba wakimsikiliza Jaji Mstaafu Joseph Warioba
(hayupo pichani) wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu jinsi
tume hiyo ilivyokaribia kuanza kwa awamu ya kwanza ya mchakato wa
kushauriana na wananchi katika ukusanyaji na kuratibu maoni ya katiba
mpya.
Mwenyekiti
wa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba (kulia)
akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa tume hiyo mara baada ya kumaliza
kuongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Tume hiyo
karibu itaanza awamu ya kwanza ya mchakato wa kushauriana na wananchi
katika ukusanyaji na kuratibu maoni ya katiba mpya.
Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) jinsi walivyo na nafasikubwa
ya kufanikisha mchakato wa katiba kwa kutangaza maoni ya wananchi ili
waweze kuchagua aina ya Taifa na Katiba wanayoitaka. Wanaomsikiliza kwa
makini Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Jaji Mstaafu Joseph
Warioba (katikati) na Katibu wa Tume Assaa Rashid.
Baadhi ya wajumbe waTume
ya mabadiliko ya katiba wakimsikiliza Jaji Mstaafu Joseph Warioba
(hayupo pichani) wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu jinsi
tume hiyo ilivyokaribia kuanza kwa awamu ya kwanza ya mchakato wa
kushauriana na wananchi katika ukusanyaji na kuratibu maoni ya katiba
mpya.
Mwandishi
wa Habari Mwandamizi wa Shirika la Habari la Uingereza Idhaa ya
Kiswahili (BBC) Erick Nampesya akishukuru wa niaba ya wanahabari mara
baada ya kumalizika kwa mkutano wa mabadiliko ya katiba uliofanyika leo
jijini Dar es Salaam. Mkutano huo uliandaliwa naTume ya mabadiliko ya
katiba.
No comments:
Post a Comment