Charles
Lutandula wa WHO akifanyiwa vipimo vya awali na Mtaalamu kutoka mpango
wa Taifa wa Damu Salama Bi. Edith Senga, kabla ya kuchangia damu,wakati
wa zoezi hilo lililofanyika leo jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu
ya kilele cha maadhimisho ya uchangiaji damu duniani.
Mshauri
Mkuu wa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Christopher John
Ozga (kushoto) akiwa katika zoezi la kuchangia damu wakati wa kilele cha
maadhimisho ya uchangiaji damu duniani. Aliyesimama ni Ofisa kutoka
Mpango wa Taifa wa Damu Salama Bw. Deochris Kaimukilwa.
No comments:
Post a Comment