Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma
Prof Idris Kikula (Wa Pili Kushoto) akiwa amesimama wakati akimkaribisha
mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini Mh Lephy Gembe
aliyeongozana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa Wa Dodoma, Na Balozi
Job Lusinde katika zoezi la kujitolea damu kwa hiari lililofanyika siku
ya leo Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) na Kuandaliwa na Taasisi ya
Wanafunzi wanaosoma Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma (UDOMSSO)
Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma
(UDOM) Prof Idris Kikula akitoa neno la ukaribisho kwa Mgeni Rasmi na
timu yake nzima wakati walikuja kufungua zoezi la kujitolea damu kwa
hiari kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) zoezi lililoandaliwa
na Taasisi ya Wanafunzi wanaosoma Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya
Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOMSSO) zoezi lililofanyika leo Chuoni Hapo
Mgeni Rasmi ambaye pia ni Mkuu Wa
Wilaya ya Dodoma Mjini Mh Lephy Gembe akitoa neno fupi kwa wanafunzi na
wafanyakazi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma waliofika katika Zoezi la Kujitolea
Damu kwa Hiari lililofanyika Chuo Kikuu Cha Dodoma leo.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa
wamejitokeza katika zoezi la kuchangia Damu kwa hiari lililofanyika leo
Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) na kuandaliwa na taasisi ya wanafunzi
wanaosoma shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM)
Afisa Mahusiano wa Chuo Kikuu Cha
Dodoma (UDOM) Bi Beatrice alipokua akitoa damu kwa hiari katika Zoezi la
Kuchangia Damu kwa Hiari lililofanyika Chuo Kikuu Cha Dodoma leo huku
Akishuhudiwa na Mshauri wa wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh
Manongi(Mwenye Miwani)
Baadhi ya Viongozi wa taasisi ya
wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya sosholojia ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma(UDOMSSO) ambao Pia Wamemaliza Muda wao rasmi leo Wakiwa katika
zoezi la Uchangiaji Hiari wa Damu zoezi lililofanyika Chuo Kikuu Cha
Dodoma leo ambalo liliandaliwa na Taasisi ya wanafunzi wanaosoma Shahada
ya Kwanza ya Sosoholojia Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOMSSO). Kutoka
Kushoto Ni Emmanuel Mwakibinga akifuatiwa na Stefano Saimon.
Afisa habari wa Taasisi ya wanafunzi
wanaosoma shahada ya kwanza ya sosoholojia aliyemaliza rasmi muda wake
leo ambaye pia ni Mmiliki wa Mtandao wa LUKAZA BLOG Mh Josephat Lukaza
akiwa tayari ameshamaliza zoezi la uchangiaji wa Damu kwa Hiari ambalo
liliandaliwa na taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya
Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOMSSO) zoezi lililofanyika leo
Chuo Hapo.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha
Dodoma wakiwa Wanasubiri Kwenda Kutoa damu kwa hiari lililoandaliwa na
taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya sosholojia ya Chuo
Kikuu Cha Dodoma(UDOMSSO) zoezi lililofanyika Chuo Kikuu Cha Dodoma leo
Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma
(UDOM) Prof Idris Kikula akiaga wanafunzi na wafanyakazi waliojitoa
katika zoezi la uchangiaji damu kwa hiari lililoandaliwa na taasisi ya
wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya sosholojia ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma (UDOMSSO) lililofanyika chuo hapo leo
No comments:
Post a Comment