Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Hussein Mwinyi akiongea na waandishi wa
habari kuhusu maadhimisho ya siku ya wachangia damu Duniani
yatakayofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro tarehe 14 Mwezi huu. Uchangia
damu wa hiari umeongezeka toka chupa 52,000 kwa mwaka 2005 na kufikia chupa 140,000 kwa mwaka 2011, kauli mbiu ya mwaka huu ni “kila mchangia damu ni shujaa”. Kulia ni Naibu Waziri Dk. Seif Rashid.
(PICHA NA ANNA NKINDA WA MAELEZO)
Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Hussein Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiongea nao kuhusu maadhimisho
ya siku ya wachangia damu Duniani yatakayofanyika kitaifa mkoani
Kilimanjaro tarehe 14 Mwezi huu. Uchangia damu wa hiari umeongezeka toka
chupa 52,000 kwa mwaka 2005 na kufikia chupa 140,000 kwa mwaka 2011, kauli mbiu ya mwaka huu ni “kila mchangia damu ni shujaa”.
No comments:
Post a Comment