Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo wakati akitoa hotuba yake kwenye
ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014
katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigawa rasimu ya katiba kwa viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kufungua mkutano wa
Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika ukumbi wa mkutano
wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
viongozi
wa vyama mbalimbali vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la
Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika ukumbi wa mkutano wa
kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigawa rasimu ya katiba kwa viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maali Seif Shariff Hamad katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu wa
vyama vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa
leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini
Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maali Seif Shariff Hamad katika picha ya pamoja na wenyeviti wa vyama
vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo
Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar
es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maali Seif Shariff Hamad katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu wa
vyama vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa
leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini
Dar es salaam. Picha na Issa Michuzi.
No comments:
Post a Comment