Na Mwandishi Wetu
IKIWA zimesalia siku chache kufanyika
mpambano wa kusisimua wa mchezo wa masumbwi Duniani kati ya bondia Floyd
Mayweather na Manny Paquaio mei 2 mwaka uhu mpambano uho uliovunja
rekodi ya mapato mbalimbali ya ngumi zilizofanyika kwa kipindi hichi
kocha wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amekwisha toa Coretion DVD za
mapambano ya wakali hawo yaliyopita nyuma dvd hizo zenye mafunzo
mbalimbali pamoja na mazoezi wakati wakijiandaa kupigana mpambano wao
ambao utafanyika mei 2 Super D alisema
nimetoa video zao ili watu wazione pamoja na kumbukumbu zao za nyuma
ambapo kila DVD moja ina mapambano manne ya bondia mmoja
ambapo ukiwa kama mpenzi au shabiki wa bondia mmojawapo unaweza kujifunza mambo mengi kupitia video hizo
DVD hizo kwa sasa zinapatikana katika
makutano ya barabara ya uhuru na msimbazi Dar es salaam kituo kikuu cha
mawakala wa magazeti mbalimbal;i masaa 24 zaidi unaweza kuwasiliana moja
kwa moja na kocha Super D kwa namba za simu 0787406938 AU 0754406938