Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 2, 2017

BONDIA OMARI KIMWERI ATOA MSAADA KWA KINYOGOLI KUPITIA KWA SUPER D NCHINI Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' makabidhiano hayo yalifanyika ilala CCM katika kambi ya ngumi vifaa hivyo vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS Na Mwandishi Wetu KOCHA wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amemkabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi kwa kocha mkongwe wa mchezo huo nchini Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotumwa na bondia Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia vifaa hivyo vya kufundishia vimeletwa na Kimweri kwa ajili ya kufundishia vijana chipkizi wa mchezo wa masumbwi nchini bondia huyo alimpatia Super D ili amwakilishie kwa Kinyogoli kwa kuwa yeye alkikuwa na majukumu mengini Super D aliwasilisha vifaa hivyo wa ndindi kwa kocha huyo akizungumza baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo kocha Kinyogoli amesema anamshukuru sana kimweri kwa msaada wako huo kwa kuwa vijana wengi wakienda nje ya nchi awawakumbuki wenzao lakini yeye mara kwa mara amekuwa akinikumbuka kwa kuniletea vifaa vya mchezo wa masumbwi nchini kwa ajili ya kuwaendeleza wenzake nakumbuka kesha niletea glove kipindi cha miaka minne iliyopita na sasa ameniletea vifaa hivi hivyo najuwa kuwa kijana anakumbuka nyumbani na hii ndivyo inavyotakiwa kuwakumbuka wenzako kukumbuka ulipotoka nashukuru sana na nawakikishieni kuwa mabingwa wa mchezo wa masumbwi watatokea hapa ambapo kuna vijana wana nia ya kuwa mabingwa wa Dunia alimaliza kusema Kinyogoli nae mwakilishi wa Bondia Kimweri ambae ni Super D amesema kuwa mbali na msaada uho kwa Kinyogoli Kimweri ametoa vifaa mbalimbali vikiwemo pad glove bukta kikingia kichwa clip bandeji na vifaa mbalimbali nchini ikiwemo mkoa wa Tanga Dar es salaam na Morogoro vifaa hivyo vimetoka austalia kuja Tanzania kwa ajili ya Watanzania Wote hivyo mabondia wajitokeze kufanya mazoezi kwa moyo mmoja


 

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS

 Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS
 Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta'  makabidhiano hayo yalifanyika ilala CCM katika kambi ya ngumi vifaa hivyo vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS


Na Mwandishi Wetu


KOCHA wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amemkabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi kwa kocha mkongwe wa mchezo huo nchini Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotumwa na  bondia Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia 


vifaa hivyo vya kufundishia vimeletwa na Kimweri kwa ajili ya kufundishia vijana chipkizi wa mchezo wa masumbwi nchini bondia huyo alimpatia Super D ili amwakilishie kwa Kinyogoli kwa kuwa yeye alkikuwa na majukumu mengini 

Super D aliwasilisha vifaa hivyo wa ndindi kwa kocha huyo akizungumza baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo kocha Kinyogoli amesema anamshukuru sana kimweri kwa msaada wako huo kwa kuwa vijana wengi wakienda nje ya nchi awawakumbuki wenzao lakini yeye mara kwa mara amekuwa akinikumbuka kwa kuniletea vifaa vya mchezo wa masumbwi nchini kwa ajili ya kuwaendeleza wenzake

nakumbuka kesha niletea glove kipindi cha miaka minne iliyopita na sasa ameniletea vifaa hivi hivyo najuwa kuwa kijana anakumbuka nyumbani na hii ndivyo inavyotakiwa kuwakumbuka wenzako kukumbuka ulipotoka

nashukuru sana na nawakikishieni kuwa mabingwa wa mchezo wa masumbwi watatokea hapa ambapo kuna vijana wana nia ya kuwa mabingwa wa Dunia alimaliza kusema Kinyogoli

nae mwakilishi wa Bondia Kimweri ambae ni Super D amesema kuwa mbali na msaada uho kwa Kinyogoli Kimweri ametoa vifaa mbalimbali vikiwemo pad glove bukta kikingia kichwa clip bandeji na vifaa mbalimbali nchini ikiwemo mkoa wa Tanga Dar es salaam na Morogoro vifaa hivyo vimetoka austalia kuja Tanzania kwa ajili ya Watanzania Wote hivyo mabondia wajitokeze kufanya mazoezi kwa moyo mmoja

SUPER D AMWAGIA VIFAA KOCHA HABIBU KINYOGOLI VILIVYOTUMWA NA BONDIA KIMWERI Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS


 

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS















vijana wa kambi ya ngumi ilala
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...