Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 30, 2010

WAISLAM WAOMBEA DUWA UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2010

Mkuu wa Chuo cha Alnnajah cha Sheria za Kiislam Sheikh. Fahmi Lubwaza akizungumza wakati wa duwa ya kuombea uchaguzi mkuu katika msikiti wa Ilala Kota Dar es salaam

TIMU YA TAIFA YA MCHOZO WA POOL KWENDA UFARANSA


Vailet Mrema akiwa katika pozi
Vailet Mrema mwanamke pekee katika timu hiyo

Thursday, October 28, 2010

WALISEMA AIJAHI SASA INAMWAIKA FROFESA LIPUMBA AUNGURUMA JANGWANI LIVE LEO TBC NA ITV

Baadhi ya kina mama wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za ugongombea urais wa CUF
Mlinzi wa kampuni binafsi akiwapanga wanachama ili wamsubili profesa

wakeleketwa wakiingia viwanja vya jangwani kwa stahili ya pekee
wafanyakazi wa TBC wakipanga mitambo yao ili waweze kurusha matangazo yao live na sasa yanasikika vema redioni na kwenye luninga

jinsi uwanja ulivyojaa watu waliamua kupanda juu ya mti kumuona Profesa Lipumba
Wtu walipigwa na jua rakini wapi walimsubili Profesa Lipumba aje kumwaga Sera zake za mwesho na kesho atakuwa Kidongo Chekundu






RAIMOND AIBUKA MSHINDI WA SUPA PESA


RAYMOND SINDA akikabidhiwa mfano wa hundi baada ya kuibuka mshindi wa milioni kumi.na Meneja NATASHA ISSA
Raymond Sinda amejinyakulia kitita cha shilingi milioni Kumi katika mchezo wa bahati nasibu ya SUPA PESA linaloendeshwa katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda.
Jumla ya washindi watano tayari wamekwisha jinyakulia kitita cha shilingi milioni kumi kila mmoja tangu kuanza kwa bahati nasibu hii majuma matano yaliyopita

Wakali wa BongoFleva Tanzania..ndani ya Moment Park, Kiwalani jmosi hii!


Nico Entertainment inawaletea Show kali ya Wakali wa BongoFleva ndani ya Ukumbi tulivu wa MOMENT PARK uliopo Kiwalani....
wasanii kibao wataperform Sam wa ukweli, Dullayo, Soprano, Hakeem 5, Spark na Mon G, mwenyeji wao ktk show hio ni OMMY G 'Gangsta'
kwenye moja na mbili kutapambwa na Dj Imma & Dj Pwangala
Show itaanza saa 2 usiku mpaka lukwili na
Kiingilio ni buku 3 kwa wanaume
na buku 2 kwa wanawake
wakazi wa Kiwalani na maeno jirani hii sio ya kukosa

Wednesday, October 27, 2010

PWEZA PAUL AFARIKI DUNIA KUJENGEWA MNARA ATAKAPOZIKWA


PWEZA aitwaye Paul aliyejizolea umaarufu wakati wa michuano ya kombe la Dunia Afrika Kusini 2010 kwa kutabiri matokeo kwa uhakika, amekufa jana asubuhi na kuelezwa kuwa amekufa kifo cha kawaida.

Wakati wa mashindano ya Dombe la Dunia alikuwa akitimiwa kwa utabiri kwa kumwekea mkebe ulikuwa na chakula chake na bendera za nchi ambapo, mahali alipoenda ndipo ilipewa nafasi na kushinda, na ilikuwa hivyo.

Pweza huyo alikufa akiwa katika katika kituo cha Oberhause, Ujerumani ambapo alikuwa akihifadhiwa. Kifo cha pweza huyo kimewasikitisha mashabiki wa soka wa Ujerumani na sehemu mbalimbali duniani.

"Tumesikitishwa kwa kujua kuwa alifurahia maisha mzuri hapa," alisema Stefan Porwoll, meneja wa kituo cha Oberhausen Sea Life Center kilichopo magharibi mwa Ujerumani. Alikuwa akikuwa akikua kawaida na tutamkosa sana."

"Paul aliishangaza dunia kwa kutabiri kwa usahihi wakati wa mapambano ya Ujerumani na kisha kutabiri fainalil," Porwoll alisema,kwa mujibu wa CNN.

Kituo hicho kinapanga taratibu za mazishi.

Tuesday, October 26, 2010

Bharti Airtel yajipanga katika ushirikiano na kampuni za kimataifa za IBM


Bharti yatangaza mkakati wa kutoa huduma za kisasa kwa wateja Afrika
Kuingia ushirika wa kibiashara na IBM, Tech Mahindra na Spanco kuboresha huduma kwa wateja

Lagos, Nigeria – Oktoba 25, 2010 – Kufuatia ukuaji wa biashara barani Afrika na hata kukaribisha ushirikiano wa kibiashara baina ya wadau mbalimbali kwa lengo la kushiriki kuinua uchumi wa nchi mbalimbali, kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Bharti Airtel, imetangaza mpango wa ushirika wa kibiashara na kampuni za kimataifa za IBM, Techno Mahindra pamoja na Spanco ili kutimiza malengo ya kuinua huduma kwa wateja katika nchi za Afrika.
Makubaliano haya ambayo yanatarajiwa kukamilishwa hivi karibuni, Bharti Airtel, ambayo kwa sasa inamiliki na kuendesha biashara ya mawasiliano ya simu ya ‘Zain’ katika nchi 16 barani Afrika, itakabidhi makampuni hayo kuendesha vitengo vya huduma kwa wateja ukiwa ni mkakati madhubuti wa kukuza biashara katika eneo lote.
Kampuni hii ya mawasiliano ya simu, ambayo kwa sasa ina wateja takribani milioni 40 Afrika nzima, inatazamia kukuza idadi ya wateja hadi kufikia milioni 100 ifikapo mwaka 2013.
Kuteuliwa kwa washirika hawa wa kibiashara, IBM, Tech Mahindra pamoja na Spanco ambao wana uzoefu wa huduma zenye viwango vya kimataifa, kutawawezesha wateja wa Bharti Airtel kunufaika na huduma zenye viwango vya hali ya juu kabisa kwa kuwa washirika hawa tayari wanao uzoefu wa kuhudumia wateja katika ngazi za kimataifa hasa kwenye sekta ya mawasiliano, fesha na benki, bima na biashara za rejareja.
Pia, kwa Bharti Airtel kutangaza mpango huu wa ushirika katika biashara kwa nchi zote inazoendesha biashara ya mawasiliano barani Afrika, kutaleta manufaa thabiti katika maendeleo ya sekta ya mawasiliano kwa kila nchi husika, ikiwemo Tanzania. Hii ni pamoja na kuimarisha na kuongeza ufanisi na uwezo katika utendaji kazi pamoja na nyenzo husika.
Uendeshaji wa kitengo cha huduma kwa wateja, kwa hakika, kunabeba dhana muhimu katika kuifanya Bharti Airtel kuwa shindani zaidi barani Afrika, hususani wakati huu ambapo inatazamia kufanya huduma za mawasiliano kuwa nafuu zaidi na kuweza kupatikana kwa urahisi kwa kila mmoja katika soko la nchi zote 16.
Manoj Kohli, Afisa Mtendaji Mkuu (Kimataifa) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa pamoja wa Bharti Airtel amesema “Ushirika wetu na IBM, Tech Mahindra na Spanco unalenga kutazama upya na kasha kuboresha huduma zetu kwa wateja ili kufikia viwango vya kimataifa katika nchi zote 16. Kwa hakika hatua hii haitanufaisha tu wateja wetu, bali pia nchi husika mbamo tunaendesha biashara ya mawasiliano na hivyo kuchangia zaidi katika kuinua uchumi. Ushirika na kampuni zenye uzoefu wa kimataifa kama hizi ni chachu muhimu katika ukuaji wa sekta ya mawasiliano”.
“ushirika huu pia unatoa fursa ya kipekee katika kukuza ajira zaidi hasa kwa wafanyakazi wetu ambao wamejikita na kubobea katika kitengo cha huduma kwa wateja kwa vile inawafungulia milango ya kupata uzoefu zaidi kupiti kampuni za kimataifa zenye viwango bora vya huduma na teknolojia ya kisasa.” Alisema Kohli.
Hii ni mara ya pili kwa Bharti Airtel kutangaza ushirika na kampuni za kimataifa katika kuendesha biashara barani Afrika kwani mwezi Septemba makwa huu, iliiteua IBM kufunga na kuendesha mfumo wa teknohama kaika nchi zote 16.
”Uhusiano kati ya IBM na Bharti Airtel ni kudhirihisha malengo yetu katika kufikia masoko yanayokuwa kwa kasi duniani, ikiwemo Afrika”, alisema John Lutz, Mkuu wa Huduma za ushirikiano IBM.
Aidha, aliongeza kuwa “kitengo cha huduma za ushirika IBM husaidia wateja kuhimili vitengo vyake kama vile Huduma kwa Wateja kwa ufanisi zaidi na hata kuwafanya rasilimali zao nyingine katika maeneo mengine kama vile ukuzaji wa masoko, bidhaa na huduma husika”.
Kwa mujibu wa taarifa za utafiti zilizofanya na Deloitte kuhusiana na sekta ya mawasiliano, umiliki wa simu za mkononi barani Afrika ni chini ya asilimia 40. Hata hivyo, inaonyesha kuwa, kwa mujibu wa taarifa hiyo, mahitaji yamekuwa yakiongezeka kwa wastani wa asilimia 25 kila mwaka ilihali asilimia 10 pekee ya ongezeko inaweza kuchangia ukuaji wa uchumi wa nchi zinazoendelea kwa nasilimia 1.2.
Vineet Nayyar, Makamu Mwenyekii wa Tech Mahindra amesema; “ni dhahiri kabisa ya kwamba kuna maeneo matatu makubwa ambayo Bharti Airtel itanufaika kutokana na kumilikisha kitengo chake cha huduma kwa wateja. Itakiza huduma zake kwa haraka wakati huo huo ikihimili mahitaji ya ukuaji, wateja watapata huduma za hali ya juu zenye kukidhi viwango vya kimataifa na wafanyakazi katika kila nchi watapata fursa ya kuboresha na kuendeleza taaluma zao.
“Kwa kuwa na ushirika wa makampuni haya matatu yenye huduma zenye viwango vya kimataifa ili kuboresha huduma barani Afrika, Bharti Airtel itaweza kuanza biashara yake kwa ufanisi madhubuti katika nchi zote. Kampuni zote tatu, kwa pamoja, zinato aajira kwa zaidi ya watu 90,000 katika huduma zake zinazotolewa kwa nchi ofauti 100 ilimwenguni kote.
Naye Kapil Puri, ambaye ni Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Spanco amesema: “Bharti Airtel amekuwa kinara katika ushirika wa kibiashara katika maeneo yake yote ya biashara huko India, Uzoefu na mafanikio iliyopata umesaidia umeisaidia nchi hiyo kuwa ni mfano bora ulimwenguni katika sekta ya ushirika wa kibiashara.
Takwimu za sasa zinaonyesha kuwa zaidi ya watu 4000 wameajiriwa na Bharti Airtel kote barani Afrika, ikiwemo Tanzania, katika kitengo cha kuhudumia wateja. Hapo baadaye, inatarajiwa kuwa idadi ya waajiriwa katika kitengo cha kuhudumia wateja wa Bharti Airtel itaongezeka kutokana na mchakato wa kampuni ya Bharti Airtel kutanua mtandao wake wa mawasiliano na idadi ya wateja.

-ends-
About IBM: For more information about IBM, please visit: www.ibm.com/smarterplanet

About Tech Mahindra: Tech Mahindra is part of the US $7.1 billion Mahindra Group, in partnership with British Telecommunications plc (BT), the world’s leading communications service provider. Focused primarily on the telecommunications industry, Tech Mahindra is a leading global systems integrator and business transformation consulting organization. The company recently expanded its IT portfolio by acquiring the leading global business and information technology services company, Mahindra Satyam.

About Spanco: Spanco is in the business of creating technology infrastructure to help drive governance efficiency across key sectors like government, power, transport and telecom. Spanco has a formidable presence in the BPO space spread over four continents catering to India, US/Europe, Middle East and African Markets. Spanco Ltd. is a public listed company and certified to ISO 9001:2008 and CMMI level 3. To know more visit www.spancotele.com

About Bharti Airtel: Bharti Airtel Limited is a leading global telecommunications company with operations in 19 countries across Asia and Africa. The company offers mobile voice & data services, fixed line, high speed broadband, IPTV, DTH, turnkey telecom solutions for enterprises and national & international long distance services to carriers. Bharti Airtel has been ranked among the six best performing technology companies in the world by BusinessWeek. Bharti Airtel had over 188million customers across its operations at the end of August 2010. To know more visit www.airtel.in



Bharti Airtel
IBM
Andrew Bone
Hill & Knowlton
Mobile - Dubai: +971.50.145.5805
Mobile - Nairobi: +254.738.999.941
Andrew.bone@hillandknowlton.com

George Enema
IBM West Africa
Phone: +234 1 270 4537 8
Mobile: + 234 8033683297
george@ng.ibm.com

Tech Mahindra
Spanco
Prasenjit Roy
Tel: +91 (0)9987752715
pgroy@techmahindra.com


Jitendra Nath
Spanco BPO Services Ltd.
Phone: +91 124 4706697
Mobile: +91 9910327479
jitendran@spancobpo.com

VODA COM SHINDA MKOKO MAGARI YAWASILI


MTUMISHI WA MUNGU ATOA ONYO


MTUMISHI wa Mungu Bw.Innocent Bilakwate amesema ujumbe aliopewa na Mungu juu ya uchaguzi wa Tanzania usipowekewa maanani maafa makubwa yatatokea.

Alisema hayo jana jijini Dar as Saalam kuwa endapo watanzania hawatautilia maanani ujumbe huo na kuombea Nchi amani tuliyonayo itatoweka.

Bw. Bilakwate alisema Mungu amemwonyesha kuwa kuna watu katika vyama vya siasa wanaoshawishi wananchi kuwa tayari kumwaga damu kama njia ya kuingia madarakani, kuleta vujo katika vituo vya kupia kura,kukataa matokeo,kuwatangaza wagombea wanaowataka wenyewe na kuvishambulia vyombo vya usalama.

Alisisitiza kuwa mungu anamjua kiongozi anayewafaa watanzania

Aliongeza kuwa mungu ansema serikali ya Tanzania haina dini na ole wao wanaopeleka siasa kwenye madhehebu yao na kusisitiza kuwa iwapo watakiuka aguzo la mungu upo uwezekano mkubwa wa damu kumwagika

MALUMBANO YA KISIASA WIKI YA MWISHO

Baadhi ya vijana wakielekezana kuhusu uchaguzi Mkuu utakaofanyika jumapili hiii

SHABIKI WA MSONDO APATA SHAHADA YA UDAKTARI

Kiongozi wa bendi ya Msondo ngoma Bw, Saidi mabela (kulia) akimpongeza Bw.Joshuwa Matimo baada ya kuhitimu shaada ya udaktari toka chuo kikuu huria Tanzania wiki iliyopita

PST WAPEWA ULINGO MPYA WA KUHAMASISHA NGUMI


Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania PST, imepokea msaada wa vifaa vya mchezo wa masumbwi vyenye thamani ya shilingi milioni nane kwa ajili ya maendeleo ya mchezo huo hapa nchini.
Akipokea msaada huo kutoka kwa kampuni ya Bold aviation rais wa PST, Emmanuel Mlundwa amesema vifaa hivyo vimekuja muda muafaka na vitasaidia kurejesha hadhi ya mchezo wa ngumi.

Naye mkurugenzi wa kampuni ya BOLD Aviation John Ndunguru amesema wamevutiwa na vipaji katika mchezo wa masumbwi na kwa kutoa misaada hiyo itasaidia kuwaendeleza na kuwavutia vijana wengi katika mchezo wa masumbwi.
Vifaa vilivyotolewa ni kwa ajili ya utengenezaji wa ulingo wa kisasa wa masumbi na hivyo hii itakuwa suluhisho la baadhi ya mapambano kuchezo sehemu zisizostahili

BREAKING NEWS: GREGORY ISAACS AFARIKI DUNIA


Gregory Isaacs (59) (pichani), ambaye alikuwa mwanamuziki wa Reggae, amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa ini nchini Uingereza. Mwanamuziki huyu, ambaye alitokea kutamba sana katika miaka ya 80 na 90, atakumbukwa sana kutokana na vibao vyake matata kama vile Nigh Nurse, You are Number 1, n.k.

LYRICS:
SONG: Night Nurse
SINGER: Gregory Isaacs


Tell her try your best jest to make it quick
Whom attend to the sick
'Cause there must be something she can do
This heart is broken in two
Tell her it's a case of emergency
There's a patient by the name of Gregory

Night nurse
Only you alone can quench this Jah thirst
My night nurse, oh gosh
Oh the pain it's getting worse

I don't wanna see no doc
I need attendence from my nurse around the clock
'Cause there's no prescription for me
She's the one, the only remedy

Night nurse
Only you alone can quench this Jah thirst
My night nurse
Oh the pain it's getting worse
I hurt my love

I don't wanna see no doc
I need attendence from my nurse around the clock
'Cause there's no prescription for me
She's the one, the only remedy

Night nurse
Only you alone can quench this Jah thirst
My night nurse
Oh the pain it's getting worse
I hurt my love

And I'm sure
No doctor can cure
Night nurse
Night nurse

R.I.P GREGORY!

Monday, October 25, 2010

DR SLAA AWATAMBULISHA MBUNGE NA MADIWANI KINONDONI














DIDA ALIVYOSHELEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NDANI YA MJENGO WA 100.5 TIMES FM


Nilikuwa nimetulia natuma mambo ndani ya blog jamani mara nashangaa kimya watu siwaoni kumbe wananivizia kunifanyia suprise nusu roho initoke.Ila nawashukuru sana maboss na wafanyakazi wenzangu kwa kuniandalia mlichojaaliwa tuendelee kuwa na umoja sisi daima mbele.
Nikikata keki kimadaha umri si mchezo.


Dj spesso anaekimbiza ndani ya shoo yangu ya mitikisiko kila ijumaa katika sebene, alidhani kanikomoa kunimegea lote chezea.
Thanks helen kwa kuniandalia keki.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...