Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, January 7, 2018

BONDIA VICENT MBILINYI AJIFUA KWA MPAMBANO WAKE WA FEB 14 MOROGORO

BONDIA VICENT MBILINYI AJIFUA KWA MPAMBANO WAKE WA FEB 14 MOROGORO

BONDIA VICENT MBILINYI

VICENT MBILINYI

CHAMPION VICENT MBILINYI

VICENT MBILINYI



Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimnowa bondia vicent Mbilinyi kwa kumuelekeza kupiga ngumi ya mkunjo wa chini










Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D akinowa bondia Vicent Mbilinyi

BONDIA VICENT MBILINYI ATAMBA KUMSAMBARATISHA AMANI BARIKI FEB 14 MOROGORO


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Up Cut' wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake na Aman Bariki utakaofanyika Feb 14 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Up Cut' wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake na Aman Bariki utakaofanyika Feb 14 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandisahi Wetu

BONDIA Vicent Mbilinyi ameingia kambini kwa ajili ya mpambano wake na Amani Bariki 'Manny Chuga' mpambano wa raund 8 utakaofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro Feb 14 mpambano uho utakwa wa utangulizi kabla ya mpambano mkubwa utakaowakutanisha

Twaha Kiduku wa Morogoro na Chiota Chimwemwe wa Malawi mpambano wa raundi 10 mpambano uho wa kimataifa utawakutanisha mabondia hawo baada ya kila mmoja kucheza mpambano mmoja na kushinda na kufanikiwa kukutanishwa kwa viwango vyao

Bondia Mbilinyi anaenolewa na Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  amejinasibu kuwa atacheza kufa na kupona kwani njia ya kuelekea mafanikio yake itakuwa ni hiyo kwa kuwa yeye ni bondia mzowefu ivyo Bariki awezi kumsumbua ata kidogo ajiandae na kipigo cha mbwa mwizi siku hiyo si ya mchezo mchezo nitacvheza kufa na kupona alisema Mbilinyi

nae promota wa mpambano uho Kaike Silaju amesema ameamuwa kuandaa mpambano huo mjini Morogoro baada ya kuombwa na mashabiki wa mkoa wa morogoro nae bila hiyana nikamua kuleta mpambano huu kwa mara ya kwanza wayu washamzoea Fransic Cheka sasa huyu ndio atakae mrithi Cheka kwabi Kiduku ni bondia bora sana mchini Tanzania hivyo mashabiki mjitokeze kwa wingi mje mshudie mpambano wa kufungulia mwaka

mbali na mchezo wa masumbwi siku hiyo kutakuwa na burudani mbalimbalio ambapo kutakuwa na wasanii nao wataoneshana umwamba ambapo Vicent Kigosi 'Ray' atapambana na Jacob Stevin 'JB' uzito wa juu ivyo siku hiyo si yakukosa

siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua

mpaka kujua kitu kamili katika

mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd


Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...