Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, January 20, 2015

TBL YAFADHILI UCHIMBAJI WA VISIMA BAGAMOYO

 Mhandisi wa Kampuni ya Al Water Well Drillers, Mohamed Aboud (katikati), akielekeza jambo kwa mmoja ya wafanyakazi wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi ya miradi ya uchimbaji wa visima vya maji unaofafadhiliwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika vijiji vya Nianjema C na Mianzini B, wilayani Bagamoyo, Pwani mwishoni mwa wiki. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu.
 Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kulia) akielekeza jambo kwa fundi alipokuwa akikagua ujenzi wa mradi wa uchimbaj wa visima vya maji katika vijiji vya Nianjema C na Mianzini B, wilayani Bagamoyo, Pwani mwishoni mwa wiki.Miradi hiyo itagharimu sh. mil.51.7.
 Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akijadiliana jambo na  na mkandarasi wa  ujenzi wa visima vya maji katika vijiji vya Nianjema C na Mianzini B,Mohamed Aboud, mwishoni mwa wiki wilayani Bagamoyo, Pwani. TBL inafadhili miradi hiyo kwa gharama ya sh. mil. 51.7.
Mhandisi wa Kampuni ya Al Water Well Drillers, Mohamed Aboud (katikati), akielekeza jambo kwa mmoja ya wafanyakazi wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi ya miradi ya uchimbaji wa visima.

SUPER D AMNOA BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' KUMKABILI CHEKA FEB 28

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi zilizo nyooka wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia bingwa wa WPBF Africha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D

Bondia bingwa wa WPBF Africha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D

kutoka kushoto ni Shabani Kaoneka , Imani Daudi, Kelvin Majiba, Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' Salumu Mponda Omari Bai na bingwa wa mkanda wa WPBF Africa Ibrahimu Class 'King Class Mawe'

baaada ya mazoezi picha ya pamoja super d wa pili kulia

Kocha Super D wa pili kulia akiwa na vijana wajke baada ya mazoezi makali
Bondia bingwa wa WPBF Africha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D

BENKI YA NBC YAKABIDHI MSAADA WA MADAWATI SHULE YA MSINGI MAWENI-KIGAMBONI DAR ES SALAAM

 Mkuu wa Kitengo cha Kudhibiti Hali Hatarishi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Nicholaus Paul (wa nne kushoto) akikata utepe kuashiria makabidhiano ya msaada wa madawati yenye thamani ya zaidi ya sh milioni 3 yaliyotolewa na wafanyakazi wa kitengo cha mikopo ya makampuni cha benki hiyo kwa Shule ya Msingi Maweni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika shuleni hapo, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Maweni, Sylvester Roche, Mwalimu Mkuu Msaidizi wa shule hiyo, Martha Silavwe, Mwalimu Mkuu, Zuhura Mwaliko na baadhi ya wafanyakazi wa NBC.
 Meneja wa Kitengo cha Mikopo ya Makampuni wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC, Beatrice Musira (kulia) akisalimiana na mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Maweni, Msafiri Habakuki, wakati wa hafla hiyo shuleni hapo jana.
 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Maweni, Zuhura Mwaliko (katikati) akimshukuru  Mkuu wa Idara ya Mikopo Mikubwa ya Makampuni wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Salehe Mohamedi, baada ya kupokea msaada huo. Kulia ni Mkuu wa Usaidizi wa Biashara na Ukusanyaji wa Mikopo wa NBC, Faith Majiwa.
 Mmoja wa wafanyakazi wa enki ya NBC, Noela Ishebabi (kulia) akiwapa viburudisho wanafunzi wa shule hiyo wakati wa hafla ya makabidhiano ya madawati shuleni hapo jana.
 Baadhi ya wanafunzi waShule ya Msingi Maweni wakiimba kwa furaha wakati wakipokea msaada wa madawati kutoka Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), shulenihapo, Kigamboni, Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC wakipozi kwa picha na mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo mara baada ya kuwasili shuleni hapo, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Sunday, January 18, 2015

'MANYIGU' WA KAGAME KUWAPIMA STARS MABORESHO

AMAVUBI watakaokuja nchini Januari 21 kucheza na Stars Maboresho
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiyaAxmItFj6tkllqbxqPEmTTXt_Uag1TfmwgO15zLU69HFowypQEPEV2BfzRXD9OmiAFfH9x-8Jhd73uITS4QUnhXlImCGyImYyIhZZvkk7ecs4odB6oz1o4FSCK2GJgG6yp91Ij0dkhvS/s1600/maboresho.png
Stars maboresho wanaotarajiwa kuvaana na Amavubi Januari 22
KIKOSI cha timu ya taifa ya Rwanda 'Amavubi' (Nyigu) wanatarajia kutua nchi katika kati ya wiki ijayo kuipima ubavu timu ya Taifa Stars Maboresho.
Tayari Kocha Mkuu wa Stars, Mart Nooij ameteua kikosi cha wachezaji 26 wa timu hiyo kwa ajili ya mchezo huo utakaopigwa kwenye uwanja wa CCM, Kirumba Januari 22, mwaka huu.
Nooij alisema kati ya wachezaji hao 10 ambao wanatoka katika mikoa ya kanda ya ziwa wataweka kambi Mwanza na wengine 10 wanaotoka upande wa Dar es Salaam wataweka kambi hapo Dar es Salaam.
Alisema kambi kwa ajili ya michuano hiyo itaanza rasmi kesho Jumapili  na siku inayofuata watakwenda Mwanza kuungana na wengine kwa ajili ya kambi ya pamoja.
“Mechi hiyo ni muhimu kwetu kwani wachezaji ambao watafanya vizuri tutawapandisha kucheza katika kikosi kikubwa,”alisema Nooij.
Nooij aliwataja wachezaji wa kikosi hicho kuwa ni; Aishi Manula, Benedict Tinoko, Miraji Adam, Andrew Vicent, Michael Gadiel, Emmanuel Semwanda, Joram Mgeveke, Edward Charles na Adam Salamba.
Wengine ni; Aboubakary Mohammed, Hassan Dilunga, Hussein Malombe, Shiza Ramadhani, Omari Nyenje, Kelvin Friday, Alfred Masumbakenda, Salim Mbonde, Atupele Green na Rashid Mandawa.
Pia wamo Manyika Peter, Salum Telela, Hassan Banda, Mohammed Hussein, Said Ndemla, Said Makapu na Simon Msuva.
Aidha,  kwa mujibu wa taarifa ya Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Shirikisho la Soka Tanzani (TFF), Vedastus Lufano, kiingilio kwenye mechi hiyo itakuwa sh. 20,000 kwa viti maalumu (VIP), viti vya kawaida sh. 10,000 na mzunguko ni sh. 3,000.
Lufano aliwataja baadhi ya wachezaji wa Amavubi wanaotarajia kutua jijini Mwanza Januari 21 kwa ndege ya Rwanda Air, kuwa ni Marcel Nzarora, Olivier Kwizera, Sotel Kayomba, Ismail Nshutiyamagala , Emery Basiyenge na Michel Rushengoga.
Wengine ni Fitina Ombolenga, Janvier Mutijima, Haruna Niyonzima, Tean Baptista, Mugiraneza Savio, Nshuti Dominique, Patrick Sibomano, Jean Claude, Zagabe Andrew, Buteara Ernest , Sugira Danny, Ushengimana Betramed Iladukunda na Blenvue Mugenzi.
Lufano aliongeza kuwa taarifa iliyotumwa TFF kutoka Rwanda, Amavubi itaongozana na viongozi waliotajwa kuwa ni Stephen Costan, Vincent Mashami, Ibrahim Mugisha, Moussa Hakizimana, Nuhu Assouman, Boume Mugabe, Piere Baziki na Mkuu wa Msafara Bandora Felician.
Awali, Mkurugenzi wa Mashindano wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) Boniface Wambura alisema mechi hiyo ni sehemu ya programu ya Kocha Mart Nooij kuiandaa timu hiyo kwa ajili ya mechi za mchujo michuano ya Afrika kwa  wachezaji wanaocheza Ligi za Ndani (CHAN). 
Mechi za mchujo za michuano hiyo ambayo fainali zake zitafanyika mwakani nchini Rwanda zinaanza Mei mwaka huu.

Waziri Mahanga azindua kitabu cha Marehemu Steven Kanumba

NAIBU Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana, Makongoro Mahanga,  jana amezindua rasmi kitabu cha marehemu Steven Charles Kanumba, Kinachoitwa ''Steven Charles Kanumba: The Great Fallen Tree''  kilichoandikwa na Emmanuel Zirimwabagabo, raia wa Congo anayeishi nchini Canada.
Akizungumza na wadau waliohudhuria hafla hiyo alisema vijana wanapaswa kutumia vipaji vyao kwa kujituma, kuthubutu na kufanya kazi kwa nguvu kama marehemu Kanumba na si kulalamika kila siku,  jambo linalopelekea kuibuka kwa makundi mbalimbali kama vile Panya Road na mengineyo.
Aidha mwandishi huyo amewataka wadau mbalimbali kumuunga mkono katika kukinunua kitabu hicho cha Kanumba, ambacho pia amekiandika kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza ili kuweza kukisambaza dunia nzima.
Alisisitiza kwamba vizazi vijavyo ambavyo havikumuona vitamfahamu muigizaji huyo nguli wa Tanzania kupitia kitabu hicho kilichozungumzia maisha yake yote ya enzi za uhai.
Wasanii mbalimbali wa filamu walihudhuria uzinduzi huo huku bendi ya Malaika chini ya Christian Bella ilitumbuiza kusindikiza uzinduzi huo.
(Na Gabriel Ng'osha/GPL).
KINANA AAHIDI USHINDI WA KISHINDO KWA CCM ZANZIBAR 2015 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyeka majani mbele ya Chuo cha Sayansi ya Bahari (IMS), alipotembelea chuo hicho kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eneo la Buyu, Unguja Zanzibar leo wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi ili zipatiwe ufumbuzi. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Kinana akikagua jengo jipya la Chuo cha Sayansi ya Bahari. Ameahidi mbele ya uongozi wa chuo hicho kuwa ataibana Serikali itoe fedha ilizoahidi kumalizia ujenzi wa chuo hicho ambacho ujenzi wake ulianza mwaka 2004 lakini hadi sasa haujakamilika. Kinana akiangalia samaki aina ya kaa akijiandaa kupanda karibu na ufukweni wakati wa ziara yake katika Jimbo la Fueni, Unguja, Zanzibar leo. Kinana akipanda samaki aina ya kaa katika ufukwe wa Bahari eneo la Fuoni Zanzibar Kinana akikagua shamba la mikoko baada ya kushiriki kuipanda. Aliwasifu wananchi wa Jimbo la Fuoni kwa kuhifadhi mazingira. Kinana akipita kwenye mikoko Kinana akikata ki kwa kunywa maji ya dafu baada ya kushiriki kupanda samaki aina na kaa na mikoko Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hdhara kwenye Uwanja wa Magereza Kijiji cha Tomondo, Dimani Mkoa wa Magharibi, Zanzibar. Amewahakikishia wana CCM kwamba wajiandae kushinda kwa kishindo katika uchaguzi Mkuu ujao mwaka huu na kuwataka wajenge mshikamano. Pia Kinana aliwataka viongozi kuchagua wagombea wanaopendwa na wananchi si wanaolazimisha kushinga uongozi kwa kutumia fedha. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Magereza, Katika Kijiji cha Tomondo, Wilaya ya Dimani, Mkoa wa Magharibi, ambapo alimtaka Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), ajiuzulu kutoka kwenye Serikali ya Shirikisho baada ya kutofautiana na kuhusu muundo wa muungano ambapo yeye anataka Serikali tatu na wa mkataba, wakati serikjali iliyopo inataka muundo wa sreikali mbili. Kinana akisalimiana na wanachama wa CCM alipowasili katika mkutano wa halmashauri ya Wilaya ya Dimani, Mkoa wa Magharibi, Zanzibar. Kulia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Ali Idd Seif Wasanii wakitumbuiza kwa ngoma wakati Kinana alipowasili kwenye mkutano huo Akia mama wakimshamngilia wakati wa mapokezi ya Kinana katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Dimani Kinana akikagua kiwanda cha maziwa cha Azam Diary Products Ltd, kilichopo Fumba, Unguja, Zanzibar Kinana akiangalia maziwa yanayozalishwa katika kiwanda hicho. Kulia ni Meneja wa kiowanda hicho Kartikumar Dave Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akipakia makasha ya maziwa kwa Folk Lift wakati Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokwenda kukagua Kiwanda cha maziwa cha Azam kilichopo Fumba, Unguja Zanzibar Kinana akizawadia kasha la maziwa Kinana akikata utepe kuzindua rasmi gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Mbunge wa Jimbo la Fuoni, kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa katika jimbo hilo.. Wananchi wakishangilia wakati Kinana akihutubia katika mkutano wa hdhara kwenye Uwanja wa Magereza, Kijiji cha Tomondo, Ali Aman Abeid Karume akihutubia katika mkutano wa hadhara ambapo aliwashauri wazanzibar kumomba Ali Mohamed Shein kugombea tena urais wa Zanzibar kwa vile katika kipindi cha uongozi wake amefanya makubwa. Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar, Ali Vuai Nahodha akihutubia katika mkutano huo wa hadhara.

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

SUPER D AMNOA BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' KUMKABILI CHEKA FEB 28

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa,  Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi zilizo nyooka wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia bingwa wa WPBF Africha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D

Bondia bingwa wa WPBF Africha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D

kutoka kushoto ni Shabani Kaoneka , Imani Daudi, Kelvin Majiba, Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' Salumu Mponda Omari Bai na bingwa wa mkanda wa WPBF Africa Ibrahimu Class 'King Class Mawe'

baaada ya mazoezi picha ya pamoja super d wa pili kulia

Kocha Super D wa pili kulia akiwa na vijana wajke baada ya mazoezi makali
Bondia bingwa wa WPBF Africha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D

Saturday, January 17, 2015

TANGAZO LA DAWA YENYE NGUVU ENZOY

DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI
ALLY WA YANGA BOMBA UHURU NA MSIMBAZI 0787230551 AU 0652755838,0774406938

PIGA SIMU KWA MR.MKUNJE O713827689,0787406938,  0755074505 , au 0719 541366
,0652755838 UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM

BUGURUNI LOZANA STENDI YA TAX ULIZIA ADAMU KIBANDANI 0755875884
SHULE YA UHURU FIKA JENGO LA AZAM BAKHRESA ULIZA NGAEJE 0713873412

MWANANYAMALA FIKA JABA KLABU  ULIZA MACHELLAH 0713470492
ENZOY INALETA HESHIMA
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...