Muwakilishi
wa Kampuni ya Bia nchini Kanda ya Kati,Nicksomn Tesha akipanda Mti
katika Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini
Dodoma mapema leo asubuhi wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo
hilo ikiwa ni sehemu ya Utunzaji wa Mazingira.
Meneja
wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam akimwagia maji mti alioupanda
leo kwenye Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM)
mjini Dodoma.Wanaoshuhudia ni Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha
Dodoma na wadu wa TBL.
No comments:
Post a Comment