Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma
Kikwete akifuatana na Waziri wa Afya Mheshimiwa Dr. Hussein Mwinyi
(kushoto),na Mkurugenzi wa Amref Dr. Festus Lakko (kulia) wakiangalia
machapisho mbalimbali yanayohusiana na afya ya mama na mtoto kutoka
shirika la Amref wakati wa uzinduzi rasmi wa 'Okoa maisha ya mama na
mtoto. Changia mafunzo ya wakunga', au, stand up for African women.
Uzinduzi huo ulifanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja tarehe 15.5.2012. |
No comments:
Post a Comment