Wachezaji wa timu ya Azam wakishangilia goli katika moja ya mechi zao za Lligi kuu ya Vodacom
Kikosi cha timu ya Mtibwa Suger
KAMATI ya nidhamu ya ligi kuu Tanzania Bara imeamuru mchezo wa Timu ya Azam na
Mtibwa kurudiwa kesho katika uwanja wa Taifa Jijini hivyo ligi itamalizika
jumapili. Mechi zote za ligi ama pazia la kumaliza ligi litafungwa
jumapili tarehe 06/05/2012.
No comments:
Post a Comment