Rais
wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Uongozi wa Idara Maalum katika utekelezaji wa
mpango wa kazi za Ofisi za Idara hizo, katika ukumbi wa mikutano Ikulu
Mjini Zanzibar.
Baadhi
ya
watendaji wa Ofisi za Idara Maalum katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,wakiwa katika mkutano chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekitiwa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,mkutano huo unahusu masuala mbali mbali ya
kiutendaji, katika idara hizo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment