Mwakilishi wa Kuteuliwa na Rais Marina Joel Thomas akila kiapo
mbele ya Spika wa Baraza hilo Pandu Amer Kificho huko katika Ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
Mwakilishi wa Kuteuliwa na Rais Marina Joel Thomas wakatikati akiwa
katika picha ya pamoja na Familia yake nje ya Ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi baada ya kuapishwa na Spika wa Baraza hilo Pandu Ameir
Kificho.
No comments:
Post a Comment