Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza jinsi ya kurusha makonde bondia Zainabu 'Ikota' Mhamila ambaye ni binti yake anaependa ngumi kwa ajili ya kujiweka fiti katika mazoezi picha na SUPER D BOXING NEWS |

Bondia Zainabu Ikota Mhamila kushoto
akifundishwa jinsi ya kutupa makonde na baba yake mzazi wakati wa
mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS
ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA NA RAJABU MHAMILA SUPER D |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na binti yake baada ya mazoezi
BODI YA CHAKULA, DAWA
NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA ZAIDI YA TANI KUMI ZA DAWA NA VYAKULA
unnamed1rWAFANYAKAZI wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar
wakiwa katika matayarisho ya uangamizaji wa vyakula na dawa mbali mbali
vilivyopitwa na wakati na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya
binaadamu zaidi ya tani 10, uangamizaji huo ulifanyika katika Kijiji cha
Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
unnamed2rWAFANYAKAZI wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar
wakiwa katika matayarisho ya uangamizaji wa vyakula na dawa mbali mbali
vilivyopitwa na wakati na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya
binaadamu zaidi ya tani 10, uangamizaji huo ulifanyika katika Kijiji cha
Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
unnamed3r
KIJIKO kikiangamiza dawa, vyakula na vipodozi mbali mbali vilivyopitwa
na muda wake wa matumizi pamoja na vile visivyokua na viwango kwa
matumizi ya binaadamu, Bodi ya Chakula , dawa na vipodozi Zanzibar
(ZFDB)iliangamiza vitu hivyo zaidi ya tani 10 katika Kijiji cha Kibele
Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Haroub Hussein).
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
No comments:
Post a Comment