Mhandisi
wa Kampuni ya Al Water Well Drillers, Mohamed Aboud (katikati),
akielekeza jambo kwa mmoja ya wafanyakazi wakati wa ukaguzi wa maendeleo
ya ujenzi ya miradi ya uchimbaji wa visima vya maji unaofafadhiliwa na
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika vijiji vya Nianjema C na Mianzini
B, wilayani Bagamoyo, Pwani mwishoni mwa wiki. Kulia ni Ofisa Uhusiano
wa TBL, Dorris Malulu.
Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kulia)
akielekeza jambo kwa fundi alipokuwa akikagua ujenzi wa mradi wa
uchimbaj wa visima vya maji katika vijiji vya Nianjema C na Mianzini B,
wilayani Bagamoyo, Pwani mwishoni mwa wiki.Miradi hiyo itagharimu sh.
mil.51.7.
Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akijadiliana
jambo na na mkandarasi wa ujenzi wa visima vya maji katika vijiji vya
Nianjema C na Mianzini B,Mohamed Aboud, mwishoni mwa wiki wilayani
Bagamoyo, Pwani. TBL inafadhili miradi hiyo kwa gharama ya sh. mil.
51.7.
Mhandisi
wa Kampuni ya Al Water Well Drillers, Mohamed Aboud (katikati),
akielekeza jambo kwa mmoja ya wafanyakazi wakati wa ukaguzi wa maendeleo
ya ujenzi ya miradi ya uchimbaji wa visima.
No comments:
Post a Comment