Mbunge
wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete,akihutubia katika mkutano wa
hadhara katika Kijiji cha Fukayosi, Kata ya Fukayosi, wakati wa ziara ya
kikazi pamoja na kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kuwa mbunge miezi
sita iliyopita.Ridhiwani kutoruhusu hata kipande cha heka moja kuporwa
na matapeli katika jimbo lake la Chalinze.PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Kijana Salumu Khamis akiuliza swali mbele ya Mbunge Ridhiwani Kikwete kuhusu tatizo la maji katika Kijiji cha Fukayosi
Mkuu
wa Miradi wa Mkoa wa Pwani wa Tanesco, Leo Mwakatobe, akielezea jinsi
umeme utakavyosambazwa katika Kijiji cha Fukayosi na vijiji vingine
Jimbo la Chalinze.
Mwenyekiti
mpya wa Serikali ya Kijiji cha Fukayosi, Salum Mkwecha akimshukuru
mbunge kwa ahadi mbalimbali alizozitoa katika miradi mbalimbali katika
kijiji hicho.
Ridhiwani
akibadilishana mawazo na mmoja wa watawa baada ya kumalizika kwa
mkutano katika Kijiji cha Fukayosi Jimbo la Chalinze.
Mwenyekiti
mstaafu wa Kata ya Fukayosi,Adam Masoud akimuomba Mbunge Ridhiwani
kuhikisha anaweka miundombinu ya barabara na maji na masuala ya afya
katika Kijiji cha Mkenge,wakati wa ziara yake katika Kata ya Fukayosi ya
kuwashukuru kwa kumchagua pamoja na kusikiliza kero za wananchi na
kuangalia jinsi ya kuzitafutia ufumbuzi.
Mkazi
wa Kijiji cha Mkenge, Khamis Mwanga akielezea kero ya barabara ya Mwavi
hadi Mkenge ambayo alidai inarudisha nyuma maendeleo ya kijiji hicho
hivyo kumtaka Ridhiwani awasaidia kuijenge barabara hiyo ili iweze
kupitika bila matatizo katika vipindi vyote. Ridhiwani aliwajibu kuwa
tayari barabara hiyo imepata mkandarasi anayetarajia kuanza kazi katika
siku chache zijazo.
Katibu
wa CCM Tawi la Mkenge, Omar Seleman akimuomba Mbge Ridhiwani asaidie
kumalizia ujenzi wa msikiti wa Mkenge, Ombi ambalo alilikubali na
kuahidi kupaua kwa gharama zake.
Ridhiwani akijibu maswali mbalimbali ya wananchi wakati wa mkutano katika Kijiji cha Mkenge
Ridhiwani
akikagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti wa Mkenge ambao ameahidi
kuchangia mabati na mbao za kupaua jengo hilo la ibada.
Mwenyekiti
wa CCM Kata ya Fukayosi, Olnjurie Marigwa akihtubia katika mkutano
uliofanyika katika kijiji cha Mwavi, Kata ya Fukayosi
Masoud
Fundikira akimuomba Mbunge wao Ridhiwan, anzishe mashindano ya mpira wa
miguu kuwania kikombe cha Ridhiwani Cup ili kuendeleza michezo katika
jimbo hilo. Ridhiwani alilikubali ombi hilo kwa kuanzia kutoa misaada ya
mipira na jezi katika kila timu ya kata za jimbo hilo.
Ridhiwani
akihutubia katika Kijiji cha Mwavi ambapo aliahidi kufuatilia kwa
karibu kuhusu suala la alilogawiwa Mkorea ili kijiji cha mwwavi kipate
haki.
Katibu
wa CCM Wilaya ya Bagamoyo Kombo Kamote, akiwafunda viongozi wa Serikali
ya Kijiji cha Mwavi waliochaguliwa hivi karibuni ili wawatendee haki
wananchi.
Ridhiwani
akihutubia katika mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Kidomole,
ambapo aliwajia juu anaowaita matapeli wanaouza ardhi katika Jimbo la
Chalinze bila kufuata sheria na utaratibu. Alisema kuwa hayuko tayari
kuona hata heka moja ya jimbo hilo ikikuzwa bila utaratibu.
Ridhiwani akiagana na Meya wa Morogoro, Amir Nondo ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Kiwangwa katika jimbo hilo la Chalinze.
RIDHIWANI KIKWETE AAPA
KUPAMBANA NA MATAPELI WA ARDHI JIMBO LA CHALINZE Mbunge wa Jimbo la
Chalinze, Ridhiwani Kikwete,akihutubia katika mkutano wa hadhara katika
Kijiji cha Fukayosi, Kata ya Fukayosi, wakati wa ziara ya kikazi pamoja
na kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kuwa mbunge miezi sita
iliyopita.Ridhiwani kutoruhusu hata kipande cha heka moja kuporwa na
matapeli katika jimbo lake la Chalinze.PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Kijana Salumu Khamis akiuliza swali
mbele ya Mbunge Ridhiwani Kikwete kuhusu tatizo la maji katika Kijiji
cha Fukayosi Mkuu wa Miradi wa Mkoa wa Pwani wa Tanesco, Leo Mwakatobe,
akielezea jinsi umeme utakavyosambazwa katika Kijiji cha Fukayosi na
vijiji vingine Jimbo la Chalinze. Mwenyekiti mpya wa Serikali ya Kijiji
cha Fukayosi, Salum Mkwecha akimshukuru mbunge kwa ahadi mbalimbali
alizozitoa katika miradi mbalimbali katika kijiji hicho. Ridhiwani
akibadilishana mawazo na mmoja wa watawa baada ya kumalizika kwa mkutano
katika Kijiji cha Fukayosi Jimbo la Chalinze. Mwenyekiti mstaafu wa
Kata ya Fukayosi,Adam Masoud akimuomba Mbunge Ridhiwani kuhikisha
anaweka miundombinu ya barabara na maji na masuala ya afya katika Kijiji
cha Mkenge,wakati wa ziara yake katika Kata ya Fukayosi ya kuwashukuru
kwa kumchagua pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuangalia jinsi
ya kuzitafutia ufumbuzi. Mkazi wa Kijiji cha Mkenge, Khamis Mwanga
akielezea kero ya barabara ya Mwavi hadi Mkenge ambayo alidai inarudisha
nyuma maendeleo ya kijiji hicho hivyo kumtaka Ridhiwani awasaidia
kuijenge barabara hiyo ili iweze kupitika bila matatizo katika vipindi
vyote. Ridhiwani aliwajibu kuwa tayari barabara hiyo imepata mkandarasi
anayetarajia kuanza kazi katika siku chache zijazo. Katibu wa CCM Tawi
la Mkenge, Omar Seleman akimuomba Mbge Ridhiwani asaidie kumalizia
ujenzi wa msikiti wa Mkenge, Ombi ambalo alilikubali na kuahidi kupaua
kwa gharama zake. Ridhiwani akijibu maswali mbalimbali ya wananchi
wakati wa mkutano katika Kijiji cha Mkenge Ridhiwani akikagua maendeleo
ya ujenzi wa msikiti wa Mkenge ambao ameahidi kuchangia mabati na mbao
za kupaua jengo hilo la ibada. Mwenyekiti wa CCM Kata ya Fukayosi,
Olnjurie Marigwa akihtubia katika mkutano uliofanyika katika kijiji cha
Mwavi, Kata ya Fukayosi Masoud Fundikira akimuomba Mbunge wao Ridhiwan,
anzishe mashindano ya mpira wa miguu kuwania kikombe cha Ridhiwani Cup
ili kuendeleza michezo katika jimbo hilo. Ridhiwani alilikubali ombi
hilo kwa kuanzia kutoa misaada ya mipira na jezi katika kila timu ya
kata za jimbo hilo. Ridhiwani akihutubia katika Kijiji cha Mwavi ambapo
aliahidi kufuatilia kwa karibu kuhusu suala la alilogawiwa Mkorea ili
kijiji cha mwwavi kipate haki. Katibu wa CCM Wilaya ya Bagamoyo Kombo
Kamote, akiwafunda viongozi wa Serikali ya Kijiji cha Mwavi
waliochaguliwa hivi karibuni ili wawatendee haki wananchi. Ridhiwani
akihutubia katika mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Kidomole, ambapo
aliwajia juu anaowaita matapeli wanaouza ardhi katika Jimbo la Chalinze
bila kufuata sheria na utaratibu. Alisema kuwa hayuko tayari kuona hata
heka moja ya jimbo hilo ikikuzwa bila utaratibu. Ridhiwani akiagana na
Meya wa Morogoro, Amir Nondo ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Kiwangwa
katika jimbo hilo la Chalinze.
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
No comments:
Post a Comment