Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, January 13, 2015

MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR!


Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbeke ya Mgeni Rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa Mwendo wa Pole pole  katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi  ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan Studium  leo.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria sherehe hizo.
Askari wa Kikosi cha Mafunzo SMZ  wakipita mbele ya Mgeni Rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa Mwendo wa Pole pole katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan leo.
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Bendera wakitoa salamu ya Gwaride la mwendo wa haraka kwa  Mgeni Rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan  leo.
Askari wa Jeshi la Polisi  Tanzania Kikosi cha FFU  wakitoa salamu ya Gwaride la mwendo wa haraka kwa  Mgeni Rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan leo.
Askari wa Jeshi la wanamaji Zanzibar Kikosi  cha KMKM  wakitoa salamu ya Gwaride la mwendo wa haraka kwa  Mgeni Rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan  leo.

Wasanii wa kutoka Gairo Mkoa wa Morogoro wakitoa burudani kwa ngoma ya Mtunya wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kabla ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kutoa hutuba yake katika sherehe hizo zilizofanyika jana Uwanja wa Amaan  Mjini Unguja
RIDHIWANI KIKWETE AZINDUA JENGO LA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MAGEREZA YA BWAWANI, CHALINZE Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Bwawani katika Kijiji cha Visakazi Jimbo la Chalinze. Shule hiyo inamilikiwa na Jeshi la Magereza.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Ridhiwani akivishwa skafu na mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Bwawani alipowasili katika shule hiyo leo Ridhiwani akiwa amekabidhiwa shada la maua Ridhiwani akikgua gwaride la wanafunzi wa shule hiyo lililoandaliwa maalumu kwa ajili yake Ridhiwani akilakiwa na maofisa wa Jeshi la Magereza Ridhiwani akiwa na maofisa wa jeshi hilo Kaimu Mkuu wa Magereza, Emmanuel Lwinga na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato Luganunulauu Ridhiwani akihutubia wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Shule hiyo,Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Emmanuel Lwinga na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato Luganunula Ridhiwani akiwa amekaa katika moja ya madawati yaliyomo katika moja ya vyumba vipya vya madarasa Ridhiwani akikagua jengo hilo jipya Ridhiwani akipanda mti wa kumbukumbu mbele ya jengo hilo

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...