Kocha Mohamed Chipota kulia akimfundisha bondia Ramadhani Maonya jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika club ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake utakaofanyika mei 23 katika ukumbi wa Panandipanandi Ilala bungoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Hysam Mwakinyo kushoto akioneshana umwamba wa kutupa makonde na Raymond Mbwago mabondia hawo kutoka clab ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru wanajianda na mapambano yatakayofanyika mei 23 katika ukumbi wa panandi panani Ilala Bungoni Picha na SUPER D BOXING NEWS
|
Bondia Hysam Mwakinyo kushoto akioneshana umwamba wa kutupa makonde na Raymond Mbwago mabondia hawo kutoka clab ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru wanajianda na mapambano yatakayofanyika mei 23 katika ukumbi wa panandi panani Ilala Bungoni Picha na SUPER D BOXING NEWS | |
Na Mwandishi Wetu
Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini Tpbc kwa kushirikiana na Kinyogoli foundation inawatangazia mabondia wanaotaka kuingia ngumi za kulipwa mei 23 katika ukumbi wa panandi panandi zitafanyika ngumi za (semi profession) zitakazoshirikisha mabondia chipkizi kutoka club mbali mbali nchini
ambapo upimaji wa uzito utafanyika hapo hapo mei 22 Rais wa TBPC Chaurembo Palasa ametoa wito wa mabondia kujitokeza kwa ajili ya kuonesha uwezo wao na kupagwa katika madaraja mbalimbali ya viwango vyao.
aliongeza kwa kusema wanaitaji wafadhili wajitokeze kwa ajili ya kuwasapoti vijana hawo chipkizi kwa njia moja au nyingine
Club ya Super D iliyopo shule ya uhuru Dar es salaam imeteuwa mabondia watatu watakaoshiliki katika mashindano hayo wakiongozwa na Raymond Mbwago kg 64 na Hyasam Mwakinyo KG 66 pamoja na Ramadhani Maonya KG 51 mabondia hawo wote kutoka club ya Super D inayo ngozwa na kocha Mohamed Chipota iliyopo Katika shule ya Uhuru