Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, November 10, 2017

BONDIA IDDI MKWELA AFUNGA NDOA NA ZAWADI MCHARO Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni Iddi mkwela kushoto akionesha pete yake pamoja na mkewe Zawadi Mcharo maharusi wakiwa na kaka yao Bondia IDDI Mkwela akipiga goti wakati wa kufunga ndoa Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimpa hongera bondia Iddi Mkwela baada ya kuchukuwa jiko Bondia Iddi Mkwela na mkewe wakiwa katika picha yas pamoja na ndugu Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwapongeza maharusi picha ya ndugu na jamaaa maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa kikundi cha Kahole Sanaa Group Maharusi wakiwa na Msanii Teha Maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa Kahole Sanaa Group kushoto ni Teha ,Maya Maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa Kahole Sanaa Group kushoto ni Teha ,Maya Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni BIBI HARUSI ZAWADI MCHARO BW HARUSI IDD MKWELA Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni

Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni 

Iddi mkwela kushoto akionesha pete yake pamoja na mkewe Zawadi Mcharo

maharusi wakiwa na kaka yao
Bondia IDDI Mkwela akipiga goti wakati wa kufunga ndoa

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimpa hongera bondia Iddi Mkwela baada ya kuchukuwa jiko

Bondia Iddi Mkwela na mkewe wakiwa katika picha yas pamoja na ndugu

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwapongeza maharusi

picha ya ndugu na jamaaa

maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa kikundi cha Kahole Sanaa Group

Maharusi wakiwa na Msanii Teha

Maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa Kahole Sanaa Group kushoto ni Teha ,Maya

 Maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa Kahole Sanaa Group kushoto ni Teha ,Maya
 Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni 
 Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni 
BIBI HARUSI ZAWADI MCHARO

BW HARUSI IDD MKWELA

Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni

4 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...