Marquee
tangazo
Wednesday, October 5, 2011
Prof. Tibaijuka alia na wajenzi holela
TAIFA STARS YAJIFUA KUWAKABILI MOROCCO JUMAPILI IJAYO
BALOZI WA INDIA NCHINI AKUTANA NA WANAFUNZI WA IFM
Balozi wa India nchini Kocheril Bhagirath akibadilishana mawazo na Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha – IFM cha Jijini Dar es salaam Profesa Godwin Mjema na viongozi wengine wa chuo hicho wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa shahada ya uzamili katika Biashara za Kimataifa – MBA-IB jana jijini Dar es salaam. Balozi Bharagath amesifu ushirikiano wa IFM na chuo kikuu cha Biashara cha India – IIFT katika utoaji wa kozi hiyo na hivyo kupunguza umuhimu wa watanzania kusafiri India kwa ajili ya masomo hayo.
Balozi wa India nchini Kocheril Bhagirath (katikati mstari wa mbele mwenye suti ya kijivu) akiwa katika picha ya pamoja na menejimenti ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha – IFM cha jijini Dra es salaam Mkuu wa Chuo cha IFM akiwemo Profesa Godwin Mjema(kulia kwa Balozi) na wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa shahada ya uzamili ya Biashara za Kimataifa – MBA-IB inayotolewa kwa ushirikiano wa IFM na Chuo Kikuu cha Biashara cha India – IIFT. Balozi Bharagath amesifu ushirikiano wa IFM na IIFT katika utoaji wa kozi hiyo hatua inayoimarisha ushirikiano kati ya nchi mbili hizo na pia kupunguza umuhimu wa watanzania kusafiri India kwa ajili ya masomo hayo.Martinez amtwanga Barker kwa KO

Martinez amtwanga Barker kwa KO
Atlantic City, Marekani
DHAMIRA ya Darren Barker kuishutua dunia imeingia dosari baada ya kutwangwa kwa KO katika raundi ya 11 na Sergio Martinez.
Barker mwenye miaka 29, aliahidi kurejea
Atlantic City akiwa na mkanda wa dunia wa wa WBC uzani wa middle uliokuwa ukishukiliwa na Martinez.
Lakini upiganaji wake mzuri katika ukumbi wa Boardwalk uliishwa baada ya kutwangwa ngumi ya nyuma ya sikio.
Bingwa huyo wa Ulaya alishindwa kuamka na kuendelea na pambano wakati refa
Eddie Cotton akimhesabia hadi 10 wakati zimbakia sekunde 91 katika raundi hiyo.
Akiwa na maumivu Barker alisema: "Sikumbuki ngumi (iliyompiga), miguu yangu ilianguka chini yangu.
"Nilikuwa nikijaribu kusimama lakini sikuweza.Nimesikitishwa kwa kuwa ilikuwa imebaki raundi moja na nusu tu iliyokuwa imebaki.
"Nilikuwa nikijisikia vizuri pale na sikuhisi kuwa kulikuwa na ngumu nzito kabl ya ile.
"Nilikamatwa na kitu na miguu yangu ilikosa nguvu. Kweli nimesikitishwa kamba sikuweza kuuleta ubingwa nyumbani."
Barker alikwenda katika mechi hiyo huku akiwa hajapoteza pambano katika mechi 23 ambapo alitwaa ubingwa wa Uingereza, Jumuiya ya Madola na Ulaya.
Alikwua hapewi nafasi ya kushinda mbe ya macho ya watu wengi, lakini alikuwa kwenye tabu katika raundi ya 10 dhidi ya mtu ambaye yuko katika namba tatu kwenye viwango vya Dunia.
Lakini mpiganaji huyo wa London ameondoka Marekani akwia kichwa juu kutokana na upiganaji wake mzuri.
Amemwacha Martinez akiwa anatiokw ana damu puani na mpiganaji huyo wa Argentina alimsifu mpinzani waka kwa kumpa kazi ya kufanya kabla ya kuibuka na ushindi.
Bonsi huyo mwenye miaka 36 anayepigana kwa mkono wa kushoto alisema: "Sikuchanganyikiwa hata kidogo, ilikuwa ni kazi nzuri ya Barker.
"Nilitakwia kuyapooza mashambulizi yake, nilitakiwa kumwangusha chini."
Martinez, ambaye hakutaka kukanusua uwezekanow akupigana na Floyd Mayweather, aliongeza : "Nilijua kuwa pambano hili lingekuwa kama hivi.
"Nilipanga hili na kiwa wakati kupata upepo wa pili. Tulifanya mzoezi kwa hili, ni sehemu ya mpango wetu unavyokwenda.
"Tulijua kuwa tutapata uimara kadiri pambano linavyokwenda. Nilikuwa nikiendelea kurusha ngumi ya kulia kwa sababu nilikuwa nikijua haraka au baadaye nitaanda kumpata."
Kamati ya mashindano TFF kujadili Daraja la Kwanza Oktoba 10
Msemaji wa TFF, Boniface Wambura, amesema ligi hiyo itakayoanza Oktoba 15, mwaka huu, itashirikisha timu za AFC ya Arusha, Burkina Faso ya Morogoro, Majimaji ya Ruvuma, Mbeya City Council ya Mbeya, Mgambo Shooting ya Tanga, Mlale JKT ya Ruvuma na Morani ya Manyara.
timu nyingine ni Polisi ya Dar es Salaam, Polisi ya Iringa, Polisi ya Morogoro, Polisi ya Tabora, Rhino Rangers ya Tabora, Samaria ya Singida, Small Kids ya Rukwa, Tanzania Prisons ya Mbeya, Temeke United ya Dar es Salaam na Transit Camp ya Dar es Salaam, ambazo zitawekwa katika makundi matatu.
Wambura amesema timu za Majimaji na Small Kids, mpaka sasa hazijalipa ada ya ushiriki ya sh. 200,000 na kwamba, zimetakiwa kulipa ada hiyo kabla ya Oktoba 10, mwaka huu ambayo ndiyo siku ya kupanga ratiba.
Tuesday, October 4, 2011
MATUKIO YA MBUNGE WA JIMBO LA MVOMERO.
Rais Museven wa Uganda azuru Tanzania
Usalama wa Taifa na 'vita' dhidi ya wapigapicha Tanzania
NSAJIGWA NJE TAIFA STARS
Sunday, October 2, 2011
MABONDIA WA TANGA WANYAKUA MIKANDA YOTE YA TPBO KATIKA VIWANJA VYA TANGAMANO
Bondia Saidi Mundi wa Tanga akinoshwa mkono juu baada ya kumtwanga Mohamedi Bakari wakati wa
mchezo wa kugombania mkanda wa ubingwa wa taifa wa chama cha ngumi za kulipwa TPBO viwanja
vya tangamano TANGA.(http://www.superdboxingcoach,blogspot.com/)
furaha ya ubingwa
ngumi sio uadui hapa mabondia wakisalimiana
Alani kamote wa tanga akitupa makonde
mashabiki kibaoooo
Nakwambia umuwezi bondia yoyote wa tanga karibu tena ndio anavyosema mmoja wa wadau wa ngumi baada ya bondia wake kushinda




