Marquee
tangazo
Thursday, January 15, 2015
RAIS KIKWETE NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo. Picha na IKULU
TIBA YA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA KIKE UVUMBUZI WAKE KITABU HIKI HAPA
TANGAZO LA DAWA YENYE NGUVU ENZOY
|
| |||
DAWA
YA NGUVU ZA KIUME NA MSIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA
AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA
INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA
KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZIALLY WA YANGA BOMBA UHURU NA MSIMBAZI 0787230551 AU 0652755838
PIGA SIMU KWA MR.MKUNJE O713827689, 0755074505 , au 0719 541366,0652755838 UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM
BUGURUNI LOZANA STENDI YA TAX ULIZIA ADAMU KIBANDANI 0755875884
SHULE YA UHURU FIKA JENGO LA AZAM BAKHRESA ULIZA NGAEJE 0713873412
MWANANYAMALA FIKA JABA KLABU ULIZA MACHELLAH 0713470492
ENZOY INALETA HESHIMA
Tuesday, January 13, 2015
MIKANDA MIWILI YA UBINGWA WA TAIFA WA NGUMI KUGOMBANIWA MANYARA PARK JANUARY 30
Na Mwandishi Wetu
BONDIA Ibrahimu Tamba ambaye ni bingwa
wa uzito wa kg 72 ambaye ni bingwa wa TPBO anatarajia kuvaana na Baraka
Mwakansope wa Mbeya mpambano wa ubingwa wa raundi kumi utakaofanyika
january 30 katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM
akizungumzia mpambano huo promota
Jafarri Ndame amesema siku hiyo kutakuwa na mipambano miwili ya ubingwa
yote yakiwa na raundi kumi kila moja mpambano mwingine utawakutanisha
Azizi Abdallah akatakaekabiliana na Selemani Zugo pia kutakuwa na
mipambano mingine mikali ya utangulizi ambapo
bondiaTasha Mjuaji atapambana na
Bakari Dunda na Jems Kibazange atacheza na Stivin Kobelo wakati Julius
Kisarawe atapambana na Jems Martin na shomali Mirundi atakabiliana na
Shedrack Ignas na Twaha Issa atakutana na Kassim Gamboo uku Husein Gobos
akicheza na Samweli Stopa wakati Iddi Mgodomi atapambana na Shomari
Punzi
siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether,
Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya
juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super
D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa
ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.
“Ninatarajia kuwepo kwa ajili ya kuwauzia DVD mashabiki wa ngumi watakaokuwepo katika Mpambano ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na sheria za mchezo wa ngumi”, alisema Super D . -- Super D Boxing Coach Email.superdboxingcoach@gmail.com www.burudan.blogspot.com www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938
Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
RIDHIWANI KIKWETE ATIMIZA AHADI, AWASHUKURU WANANCHI KWA KUMCHAGUA CHALINZE;
Mmasai mwenye jamii ya kifugaji Andokela Okunge akiuliza swali kwa Mbunge Ridhiwani kuhsu Jamii sivyowaendea haki wafugaji ambapo alidai kuwa mkulima anaweza kuuzi shamba halafu baadaye anageuka na kusema amedhulumia jambo ambalo si kweli.
Mwajabu Hemedambaye ambaye nyumba yake ilibomoka, akilalamik mbele ya Mbunge Ridhiwani kuwa alipotoa taarifa y kusaidiwa ujenzi wa yumba hiyo kwa Mwenyekiti wa Kitongoji, alijibiwa kwa dhiahaka kuwa amkubalie aklale naye kwanza ndipo amsaidie.
Mzee Msoud Mhina akilalamika mbele ya Munge Ridhiwani kuwa Serikali ya CCM imewasahau wazee kwa kutowahudumia hali ambayo inawafanya waishi maisha magumu.
Mkazi wa Miono, Sahaban Mpwimbwi akimuomba Mbunge Ridhiwani awasaidie katika Kata ya Miono kukarabati Rambo la maji ambalo limehribika. Rambo hilo lilijengwa Enzi Rais Jakaya Kikwete akiwa mbunge wa jibo la Chalinze.
Ridhiwani akijadiliana jambo Diwani wa Kata ya Miono Senguli Mbele huku kwaya Kijiji ikitumbuiza na kutoa maneno ya matatizo yaliyopo katika Kituo cha Afya ch Miono ikiwemo kukosekana kwa chumba cha upasuaji ka waja wazito.
Ridhiwani akisalimiana na wazee wa Miono
Wafugaji wakijadiliana jambo a Mbunge Ridhiwani mjini Miono.
Ridhiwani akisalimiana na watoto alipowasili katika Kijii cha Kweynkonje, Kata ya Miono
Sehemu ya wananchi walihudhuria mkutano katika Kijiji cha Kweynkonje
BALOZI SEIF AWATEMBELEA WAGONJWA MNAZI MMOJA !
![]() |
|
Balozi Seif
akimpa pole Wanu Rajab aliyelazwa Hospital Kuu ya Mnazi mmoja yeye na
Mtoto wake baada ya kibanda wanachoishi katika shughuli za Kilimo kuwaka moto
katika Kijiji cha Kirombero.
|
MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR!
![]() |
| Viongozi mbalimbali waliohudhuria sherehe hizo. |
RIDHIWANI KIKWETE
AZINDUA JENGO LA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MAGEREZA YA BWAWANI,
CHALINZE
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua
rasmi jengo la vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Bwawani
katika Kijiji cha Visakazi Jimbo la Chalinze. Shule hiyo inamilikiwa na
Jeshi la Magereza.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO
BLOG
Ridhiwani akivishwa skafu na mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika
Shule ya Sekondari Bwawani alipowasili katika shule hiyo leo
Ridhiwani akiwa amekabidhiwa shada la maua
Ridhiwani akikgua gwaride la wanafunzi wa shule hiyo lililoandaliwa
maalumu kwa ajili yake
Ridhiwani akilakiwa na maofisa wa Jeshi la Magereza
Ridhiwani akiwa na maofisa wa jeshi hilo Kaimu Mkuu wa Magereza,
Emmanuel Lwinga na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato
Luganunulauu
Ridhiwani akihutubia wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa
Shule hiyo,Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Emmanuel Lwinga na Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato Luganunula
Ridhiwani akiwa amekaa katika moja ya madawati yaliyomo katika moja ya
vyumba vipya vya madarasa
Ridhiwani akikagua jengo hilo jipya
Ridhiwani akipanda mti wa kumbukumbu mbele ya jengo hilo
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Monday, January 12, 2015
IKOTA APANIA KUJUA MCHEZO WA MASUMBWI KWA KUWA UPO KATIKA DAMU YAKE
| Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza jinsi ya kurusha makonde bondia Zainabu 'Ikota' Mhamila ambaye ni binti yake anaependa ngumi kwa ajili ya kujiweka fiti katika mazoezi picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza jinsi ya kurusha makonde bondia Zainabu 'Ikota' Mhamila ambaye ni binti yake anaependa ngumi kwa ajili ya kujiweka fiti katika mazoezi picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza jinsi ya kurusha makonde bondia Zainabu 'Ikota' Mhamila ambaye ni binti yake anaependa ngumi kwa ajili ya kujiweka fiti katika mazoezi picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Zainabu Ikota Mhamila kushoto
akifundishwa jinsi ya kutupa makonde na baba yake mzazi wakati wa
mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS
| ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA NA RAJABU MHAMILA SUPER D |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na binti yake baada ya mazoezi
BODI YA CHAKULA, DAWA
NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA ZAIDI YA TANI KUMI ZA DAWA NA VYAKULA
unnamed1rWAFANYAKAZI wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar
wakiwa katika matayarisho ya uangamizaji wa vyakula na dawa mbali mbali
vilivyopitwa na wakati na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya
binaadamu zaidi ya tani 10, uangamizaji huo ulifanyika katika Kijiji cha
Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
unnamed2rWAFANYAKAZI wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar
wakiwa katika matayarisho ya uangamizaji wa vyakula na dawa mbali mbali
vilivyopitwa na wakati na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya
binaadamu zaidi ya tani 10, uangamizaji huo ulifanyika katika Kijiji cha
Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
unnamed3r
KIJIKO kikiangamiza dawa, vyakula na vipodozi mbali mbali vilivyopitwa
na muda wake wa matumizi pamoja na vile visivyokua na viwango kwa
matumizi ya binaadamu, Bodi ya Chakula , dawa na vipodozi Zanzibar
(ZFDB)iliangamiza vitu hivyo zaidi ya tani 10 katika Kijiji cha Kibele
Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Haroub Hussein).
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
RAIS KIKWETE AKABIDHI VITABU 201 KWA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI
KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM KIMEKUTANA LEO MJINI ZANZIBBAR
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa tatu kulia,
Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na Mjumbe wa
Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa kabla ya kuanza kwa kikao cha
kamati maalum ya CCM kilichifanyiaka leo Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui
Zanzibar.
Wajumbe
wa Kamati Maalum ya CCM iliyokutana leo Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Zanzibar, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wakati Kikao hicho
kilipokua kikiendelea leo Januari 11, 2014 Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
(kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa tatu (katikati)
Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kushoto) katika ufunguzi
wa kikao hicho.
WAZIRI WA VIWANDA ATEMBELEA MACHIMKBO YA CHUMA LIGANGA NA MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA
Waziri wa
Viwanda na Biashara akutana na wafanyabiashara wa Mkoani Njombe na kuzungumza
nao fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa huo mara baada ya kupokewa na Mkuu wa
Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema Nchimbi.
wafanyabiashara wa Mkoani Njombe
Mlima wa Liganga
uliopo mkoani njombe wilaya ya Ludewa ambapo kampuni ya Tanzania China
International Mineral Resources Ltd.
Waziri
wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kiogoda (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji
wa kampuni ya Tanzania China International Mineral Resources Ltd, Erick
Mwingira juu ya miradi hiyo ya makaa ya mawe, alipotembelea miradi ya Chuma cha
Liganga na Makaa ya mawe ya Mchuchuma. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la
Taifa (NDC), Mligi Mkucha.
Picha ya pamoja ya
Mh. Waziri wa Viwanda na Biashara pamoja na watafiti na Viongozi wa serikali.
Waziri
wa Viwanda na Biashara katika mlima wa Liganga.
Friday, January 9, 2015
MABONDIA IDDI BONGE NA ALIPHONCE MCHUMIATUMBO KUZIPIGA FEB 14
NA MWANDISHI WETU
MABONDIA wenye uzito wa juu nchini
Aliphonce Mchumiatumbo na Iddi Kipandu 'Iddi Bonge' watapambana Feb 14
katika ukumbi wa P.T.A sabasaba wakigombania ubingwa wa taifa pamoja na
pikipiki akizungumzia mpambano huo promota Shabani Manyoka amesema
kupitia kampuni ya Mahamba Incorporation Limited wameamua kuandaa
mpambano huo wa uzito wa juu ambao ni admu sana nchini kufanyika na ndio
mabondia wanaokubalika Duniani kote
mpambano huo wa raundi kumi utakuwa ni
wa aina yake kwa kuwa kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi
ambapo bondia Iddi Mnyeke atapambana na Yonas Sego wakati Sahani Kaoneka
atamkabili Saidi Mbelwa, na Deo Samweli akipambana na Adam Ngange Juma
fundi atakabiliana na Bakari Ostadhi na Amani Bariki 'Manny Chuga'
atapambana na Mohamed Kashinde siku hiyo pia kutakuwa na mpambano
mwingine wa utangulizi wa uzito wa juu kati ya Bank Mwakalebela atakae
mkabili Frank Kimbwilo
siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether,
Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya
juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super
D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa
ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.
“Ninatarajia kuwepo kwa ajili ya kuwauzia DVD mashabiki wa ngumi watakaokuwepo katika Mpambano ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na sheria za mchezo wa ngumi”, alisema Super D . -- Super D Boxing Coach Email.superdboxingcoach@gmail.com www.burudan.blogspot.com www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938
Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
Subscribe to:
Posts (Atom)


















xx.jpg)
xx.jpg)
