Marquee
tangazo
Saturday, June 29, 2019
SUPER D AMNOWA RAMADHANI MBEGU 'MIGWEDE' KUPAMBANA JULAI 7 CHANIKA MAGENGE
Thursday, June 20, 2019
SUPER D KUWAPAMBANISHA ABDUL ZUGO NA RAMADHANI MBEGU SIKU YA SABASABA DAY CHANIKA
Na Mwandishi Wetu
Baada ya tamba mbalimbali za hapa na pale sasa mabondia Abdul Zugo na Ramadhani Mbegu' Migwede' watazipiga julai 7 katika ukumbi wa Manka Pub Chanika Magenge mpambano wa raundi 8
Mpambano uho ulio andaliwa na Rajabu Mhamila 'Super D' kupitia kampuni ya Super D boxing Promotion amesema kuwa pambano hili ndio litakalo amua nani zaidi bada ya mabondia hawo kuwa na viwango sawa kwa sawa ambapo mabondia hwao wmecheza mapambano yao 12 kila mmoja na kushinda 10 kila mmoja na ku droo 2 kila mmoja katika mapambano yao
mpambano huo utakuwa wa kukata na shoka kwa kuwa kila mmoja anataka kuendeleza wimbi la ushindi
Super D aliongeza kwa kusema kuwa mbali na mpambano uho kutakuwa na mapambano mengine ambapo Hamidu Kwata atazipiga na Luckman Ramadhani na Salum Mandai 'Pacho' atazidunda na Waziri Rosta wakati Juma Zingiziwa ataoneshana umwamba na Alex Kachelewa juma Malenda atavaana na Ibrahimu Makubi na Hussein Shemdoe atazipiga na Juma Kadoda wakati Said Mbelwa atazidunda na Shabni Kaoneka na mapambano mengine mbalimbali ya vijana chipkizi
Super D aliendelea kwa kuseka kuwa siku hiyo ngumi zitaanza mapema sana kutokana na kuwa na mapambano mengi na makali hivyo kuwataka wapenzi wa mchezo wa masumbwi kuwai kufika ukumbini ili ngumi zianze kwa wakati
usalamaa wa mali zao ni wakutosha kabisa kwani mashabiki wanatakiwa waje na familia zao wapate burudani ya mchezo wa masumbwi

Wednesday, April 24, 2019
BONDIA RAMADHANMI MBEGU HAPANIA KUMPIGA HASSANI MGAYA KWA K,O APRIL 27 CHANIKA
Na Mwandishi Wetu
BONDIA ramadhani Mbegu 'Migwede' baada ya kumsambalatisha bila huruma mpinzani wake waliyokutana nae katika mpambano wa Pasaka Bilali Rashidi kwa K.O ya raundi ya pili sasa Mbegu atakabiliana na Hassani Mgaya katika mpambano wake wa Aperl 27 utakaofanyika katika ukumbu wa Manka Pub uliopo Chanika Magenge
akizungumza kuhusu mpambano uho Promota wa mchezo wa masumbwi nchini ambapo kiataalamu ni Kocha wa mchezo uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa maandalizi ya mpambano huo yamekamilika na sasa wana hesabu masaa kufikia mpambano uho mabonduia hawo watakuwa wakisindikiza pambano kubwa kati ya Saidi Mbelwa na Selemani Galili 'TOLL' aliongeza kwa kusema mbali na mapambano hayo kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na mundu ambapo Juma Bilo atakabiliana na Magambo Christopher na Shukuru Samata ataoneshana kazi na Juma Ramasdhani na Mbwana Chinenda atamkabili Mohamed Muhunzi wakati Ismahil Kharidi atakumbana uso kwa uso na Salehe Ubuguyu Anamu Ngange 'Mnyama' atacheza na Saadi Kuchi wakati Abdul Zugo atazipiga na Lumeme Hussein na Idd Mbaruku atazikunja na Mohamed Mshamu
Super D amesema kuwa mapambano yote haya ni kwa ajili ya mabondia kupata ushindani kila wakati na wanatakiwa wawe bize na mazoezi kwa ajili ya mechi mbali mbali zitakazo wakabili ameseka kuwa uzito watapima siku ya ijumaa katika ukumbi uho huo na watacheza siku ya jumamosi ya April 27
Mpambano huu unategemea kufanyika kabla ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo kampuni ya kuinuwa vipaji vya mchezo wa masumbwi nchini ya Super D Boxing Promotion itakuwa likizo kwa mda kwa kuandaa mapambano ya masumbwi hata hivyo Super D ametoa wito kwa mabondia kuendelea na mazoezi kwa kipindi choto cha Ramadhani kwani kuna mapambano mengi ya ngumi yatandaliwa na Kampuni yake kwa ajili ya kukuza kuendeleza na kuinua vipaji vipya vya masum,bwi nchini Super D Mbali ya kuandaa mapambano ya ngumi pia anajihusisha moja kwa moja kuuza vifaa vya mchezo huo pamoja na kutoa mafunzo ya ngumi katika GYM yake iliyopo Kariakoo Dar es salaam
BONDIA ramadhani Mbegu 'Migwede' baada ya kumsambalatisha bila huruma mpinzani wake waliyokutana nae katika mpambano wa Pasaka Bilali Rashidi kwa K.O ya raundi ya pili sasa Mbegu atakabiliana na Hassani Mgaya katika mpambano wake wa Aperl 27 utakaofanyika katika ukumbu wa Manka Pub uliopo Chanika Magenge
akizungumza kuhusu mpambano uho Promota wa mchezo wa masumbwi nchini ambapo kiataalamu ni Kocha wa mchezo uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa maandalizi ya mpambano huo yamekamilika na sasa wana hesabu masaa kufikia mpambano uho mabonduia hawo watakuwa wakisindikiza pambano kubwa kati ya Saidi Mbelwa na Selemani Galili 'TOLL' aliongeza kwa kusema mbali na mapambano hayo kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na mundu ambapo Juma Bilo atakabiliana na Magambo Christopher na Shukuru Samata ataoneshana kazi na Juma Ramasdhani na Mbwana Chinenda atamkabili Mohamed Muhunzi wakati Ismahil Kharidi atakumbana uso kwa uso na Salehe Ubuguyu Anamu Ngange 'Mnyama' atacheza na Saadi Kuchi wakati Abdul Zugo atazipiga na Lumeme Hussein na Idd Mbaruku atazikunja na Mohamed MshamuSuper D amesema kuwa mapambano yote haya ni kwa ajili ya mabondia kupata ushindani kila wakati na wanatakiwa wawe bize na mazoezi kwa ajili ya mechi mbali mbali zitakazo wakabili ameseka kuwa uzito watapima siku ya ijumaa katika ukumbi uho huo na watacheza siku ya jumamosi ya April 27
Mpambano huu unategemea kufanyika kabla ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo kampuni ya kuinuwa vipaji vya mchezo wa masumbwi nchini ya Super D Boxing Promotion itakuwa likizo kwa mda kwa kuandaa mapambano ya masumbwi hata hivyo Super D ametoa wito kwa mabondia kuendelea na mazoezi kwa kipindi choto cha Ramadhani kwani kuna mapambano mengi ya ngumi yatandaliwa na Kampuni yake kwa ajili ya kukuza kuendeleza na kuinua vipaji vipya vya masum,bwi nchini Super D Mbali ya kuandaa mapambano ya ngumi pia anajihusisha moja kwa moja kuuza vifaa vya mchezo huo pamoja na kutoa mafunzo ya ngumi katika GYM yake iliyopo Kariakoo Dar es salaam
Saturday, April 20, 2019
NGUMI KUPIGWA JUMAPILI YA PASAKA CCM MWINYI MKUU MAGOMENI
| Bondia Vicent Mbilinyi akipimwa Afya na DOKTA Dolnad Madono |
| Bondia Ramadhani Mbegu 'Migwede' akipimwa Afya na DOKTA Dolnad Madono |
| Bondia Saluim Tandu akipimwa Afya na DOKTA Dolnad Madono |
| Promota Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwainua mikono juu mabondia Salum Tandu kushoto na Gelard Mkude ambao watacheza siku ya jumapili ya pasaka April 4 katika ukumbi wa CCM Mwinyimkuu |
| Mabondia Sandal Nyambala kushoto akitunishiana misuli na Ahmad Kombo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Pasaka katikati ni Promota Rajabu Mhamila 'Super D' |
Wednesday, April 17, 2019
SUPER D AWAITA MASHABIKI WA NGUMI MAGOMENI SIKU YA PASAKA DAY KUANGALIA MASUMBWI
| Rajabu Mhamila 'Super D' |
Na Mwandishi Wetu
ZIKIWA imebaki wiki ya mwisho kabla ya mabondia kuzipiga siku ya Pasaka katika ukumbi wa CCM Mwinyimkuu Magomeni Mapipa April 21 akizungumzia mpambano uho Promota wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema mabondia wote watakaocheza siku hiyo watapima uzito siku ya jumamosi siku moja kabla ya mpambano wao hapo hapo ukumbini
Super D aliongeza kwa kusema kuwa anawaomba mashabiki wote wa mchezo wa masumbwi waje wangalie jinsi anavyozifanya ngumi kuwa za kimataifa zaidi ngumi zitanogeshwa zaidi na mashabiki lukuki wa kike watakaojitokeza kuwapa sapoti mabondia wao aidha amesema kuwa katika ngumi izo mtu anaweza kuja yeye na familia yake nzima kwani ulinzi na usalama wa mali zao na wa uhakika zaidi
zoezi la upimaji uzito litafanyika kuanzia saa tatu asubui na kumalizika saa tano kamili asubui hiyo hiyo amewataka mashabiki na wapenzi wa ngumi kuja kuangalia mchezo huo kwa kuangalia mabondia kupima uzito na kuangalia watakavyo zipiga siku ya Pasaka
Bondia Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia, na Ibrahimu Class 'KING Class Mawe' anaefanya shughuli zake Marekani U.S.A ndio waliosababisha mabondia hawo wazipige siku hiyo kwa kuwa vijana wanatakiwa kuendeleza rekodi zao za masumbwi kila wakati ndio mana akaongeza nguvu ili mpambano uho ufanyike
Mapambano yote hayo yanaletwa kwenu na kampuni tanzu ya kizalendo ya Super D Boxing Promotion ambayo ipo nchini Tanzania kwa ajili ya kuinuwa vipaji ya vijana mbalimbali ili kuendeleza vipaji vyao pendwa

Hussein Pendeza na Juma Ramadhani Choki siku ya April 21 Pasaka Day
Mpambano uho ulioandaliwa na Promota wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa pambano hilo litafanyika siku ya sikukuu ya pasaka likiwa limepewa nguvu na

Super D aliongeza kwa kusema kuwa mbali na pambano hilo siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali yatakayokuwa yanafanyika siku hiyo ambapo bondia Idd Mkwera ataoneshana umwamba na Rojas Masamu na Shomari Milundi ataoneshana umwamba na Bakari Mbede wakati ibrahimu Makubi atavaana na Haruna Ndalo na Ramadhani Mbegu 'Migwede' atakabiliana na Rashidi Mnyagatwa na Salum Tandu zidi ya Gerald Mkude na Sunday Kiwale 'Moro Best' atalindima na Luckman Ramadhani Vicent Mbilinyi na Shabani Mbogo Hussein Shemdoe na Shehe Azizi na Ahmadi Kombo atakumbana na Sandali Nyambala

na kupitia kampuni ya Super D Promotion imejizatiti kuweka angalau pambano moja kila baada ya miezi milili ili kuwasaidia vijana mbalimbali kukuza vipaji vyao na kujiendeleza kupitia mchezo uho wa masumbwi nchini
NGUMI MZIKI KUPIGWA SIKU YA PASAKA KATIKA UKUMBI WA CCM MWINYIMKUU MAGOMENI
Na Mwandishi Wetu
ZIKIWA zimebakia siku chache kabla ya mpambano wa masumbwi uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na mashabikji lukuki wa mchezo wa ngumi nchini Tanzania utakaofanyika April 21 siku ya sikukuu ya Pasaka katika ukumbi wa CCM Mwinyimkuu
Msanii chipkizi wa wa kizazi kipya David James 'Level Lizze' kutumbuiza wapenzi na mashabiki wa mchezo wa ngumi watakaokuja siku hiyo msanii huyo anaetamba na vibao vyake kadhaa vikiwemo umeni control kingine nimechelewa na bas nipe msanii huyo ameahaidi kukonga nyoyo za mashabiki watakaokuja katika mtanange uho utakaowakutanisha
Hussein Pendeza na Juma Ramadhani Choki siku ya April 21 Pasaka Day
Mpambano uho ulioandaliwa na Promota wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa pambano hilo litafanyika siku ya sikukuu ya pasaka likiwa limepewa nguvu na
Mpambano uho ulioandaliwa na Promota wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa pambano hilo litafanyika siku ya sikukuu ya pasaka likiwa limepewa nguvu na
Bondia Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' anaefanya shughuli zake Marekani U.S.A Mabondia hwo ndio waliotia nguvu kwa ajili ya mtanange huo kufanyika siku hiyo kwa kuwa vijana wanatakiwa kuendeleza rekodi zao za masumbwi kila wakati ndio mana akaongeza nguvu ili mpambano uho ufanyike
Super D aliongeza kwa kusema kuwa mbali na pambano hilo siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali yatakayokuwa yanafanyika siku hiyo ambapo bondia Idd
Mkwera ataoneshana umwamba na Rojas Masamu na Shomari Milundi ataoneshana umwamba na Bakari Mbede wakati ibrahimu Makubi atavaana na Haruna Ndalo na Ramadhani Mbegu 'Migwede' atakabiliana na Rashidi Mnyagatwa na Salum Tandu zidi ya Gerald Mkude na Sunday Kiwale 'Moro Best' atalindima na Luckman Ramadhani Vicent Mbilinyi na Shabani Mbogo Hussein Shemdoe na Shehe Azizi na Ahmadi Kombo atakumbana na Sandali Nyambala
Mapambano yote hayo yanaletwa kwenu na kampuni tanzu ya kizalendo ya Super D Boxing Promotion ambayo ipo nchini Tanzania kwa ajili ya kuinuwa vipaji ya vijana mbalimbali ili kuendeleza vipaji vyao pendwa
na kupitia kampuni ya Super D Promotion imejizatiti kuweka angalau pambano moja kila baada ya miezi milili ili kuwasaidia vijana mbalimbali kukuza vipaji vyao na kujiendeleza kupitia mchezo uho wa masumbwi nchini
Monday, April 15, 2019
SUPER D AWAITA MASHABIKI WA NGUMI MAGOMENI SIKU YA PASAKA DAY KUANGALIA MASUMBWI
Na Mwandishi Wetu
ZIKIWA imebaki wiki ya mwisho kabla ya mabondia kuzipiga siku ya Pasaka katika ukumbi wa CCM Mwinyimkuu Magomeni Mapipa April 21 akizungumzia mpambano uho Promota wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema mabondia wote watakaocheza siku hiyo watapima uzito siku ya jumamosi siku moja kabla ya mpambano wao hapo hapo ukumbini
Super D aliongeza kwa kusema kuwa anawaomba mashabiki wote wa mchezo wa masumbwi waje wangalie jinsi anavyozifanya ngumi kuwa za kimataifa zaidi ngumi zitanogeshwa zaidi na mashabiki lukuki wa kike watakaojitokeza kuwapa sapoti mabondia wao aidha amesema kuwa katika ngumi izo mtu anaweza kuja yeye na familia yake nzima kwani ulinzi na usalama wa mali zao na wa uhakika zaidi
zoezi la upimaji uzito litafanyika kuanzia saa tatu asubui na kumalizika saa tano kamili asubui hiyo hiyo amewataka mashabiki na wapenzi wa ngumi kuja kuangalia mchezo huo kwa kuangalia mabondia kupima uzito na kuangalia watakavyo zipiga siku ya Pasaka
Bondia Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia, na Ibrahimu Class 'KING Class Mawe' anaefanya shughuli zake Marekani U.S.A ndio waliosababisha mabondia hawo wazipige siku hiyo kwa kuwa vijana wanatakiwa kuendeleza rekodi zao za masumbwi kila wakati ndio mana akaongeza nguvu ili mpambano uho ufanyike
ZIKIWA imebaki wiki ya mwisho kabla ya mabondia kuzipiga siku ya Pasaka katika ukumbi wa CCM Mwinyimkuu Magomeni Mapipa April 21 akizungumzia mpambano uho Promota wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema mabondia wote watakaocheza siku hiyo watapima uzito siku ya jumamosi siku moja kabla ya mpambano wao hapo hapo ukumbini
Super D aliongeza kwa kusema kuwa anawaomba mashabiki wote wa mchezo wa masumbwi waje wangalie jinsi anavyozifanya ngumi kuwa za kimataifa zaidi ngumi zitanogeshwa zaidi na mashabiki lukuki wa kike watakaojitokeza kuwapa sapoti mabondia wao aidha amesema kuwa katika ngumi izo mtu anaweza kuja yeye na familia yake nzima kwani ulinzi na usalama wa mali zao na wa uhakika zaidi
zoezi la upimaji uzito litafanyika kuanzia saa tatu asubui na kumalizika saa tano kamili asubui hiyo hiyo amewataka mashabiki na wapenzi wa ngumi kuja kuangalia mchezo huo kwa kuangalia mabondia kupima uzito na kuangalia watakavyo zipiga siku ya Pasaka
Hussein Pendeza na Juma Ramadhani Choki siku ya April 21 Pasaka Day
Mpambano uho ulioandaliwa na Promota wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa pambano hilo litafanyika siku ya sikukuu ya pasaka likiwa limepewa nguvu na
Mpambano uho ulioandaliwa na Promota wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa pambano hilo litafanyika siku ya sikukuu ya pasaka likiwa limepewa nguvu na
Bondia Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia, na Ibrahimu Class 'KING Class Mawe' anaefanya shughuli zake Marekani U.S.A ndio waliosababisha mabondia hawo wazipige siku hiyo kwa kuwa vijana wanatakiwa kuendeleza rekodi zao za masumbwi kila wakati ndio mana akaongeza nguvu ili mpambano uho ufanyike
Super D aliongeza kwa kusema kuwa mbali na pambano hilo siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali yatakayokuwa yanafanyika siku hiyo ambapo bondia Idd Mkwera ataoneshana umwamba na Rojas Masamu na Shomari Milundi ataoneshana umwamba na Bakari Mbede wakati ibrahimu Makubi atavaana na Haruna Ndalo na Ramadhani Mbegu 'Migwede' atakabiliana na Rashidi Mnyagatwa na Salum Tandu zidi ya Gerald Mkude na Sunday Kiwale 'Moro Best' atalindima na Luckman Ramadhani Vicent Mbilinyi na Shabani Mbogo Hussein Shemdoe na Shehe Azizi na Ahmadi Kombo atakumbana na Sandali Nyambala
Mapambano yote hayo yanaletwa kwenu na kampuni tanzu ya kizalendo ya Super D Boxing Promotion ambayo ipo nchini Tanzania kwa ajili ya kuinuwa vipaji ya vijana mbalimbali ili kuendeleza vipaji vyao pendwa
na kupitia kampuni ya Super D Promotion imejizatiti kuweka angalau pambano moja kila baada ya miezi milili ili kuwasaidia vijana mbalimbali kukuza vipaji vyao na kujiendeleza kupitia mchezo uho wa masumbwi nchini
MABONDIA RAMADHANI CHOKI NA VICENT MBILINYI WAJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WAO WA PASAKA APRIL 21 MAGOMENI
| Bondia Vicent Mbiliyi akipambana na Peter Makubi wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake utakaofanyika April 21 katika ukumbi wa CCM Mwinyimkuu magomeni Mapipa |
Subscribe to:
Posts (Atom)