Msanii
wa Muziki wa Kitanzania Mrisho Mpoto akianza kuongoza maandamano kutoka
Chuo kikuu cha Dar es salaam Kuelekea Ukumbi wa Mlimani City
Maandamano
Maandamano ya Siku ya Tembo yakiwa yanaendelea kuelekea ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya Kongamano hilo
Wasanii wa Mrisho Mpoto wakiwa wamebeba chatu katika maadhimisho ya Siku ya Tembo Kitaifa leo
Mkurugenzi
wa wanyamapori Wizara ya maliasili na utalii Prof. Alexander Songorwa
akisoma Hotuba kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na utalii.
Wadau
mbalimbali wa utalii na kupinga mauaji dhidi ya Tembo wakiwa
wanafuatilia kwa umakini maadhimisho ya Siku ya Tembo kitaifa.
Makamu
Mwenyekiti wa kundi la wabunge wa Tanzania wanaojihusisha na hifadhi
endelevu ya maliasili na matumizi endelevu ya mazingira (TPGSNRC),
Othman Mfutakamba akiangalia meno ya tembo wakati wa maadhimisho ya siku
ya tembo kitaifa iliyokuwa na kaulimbiu ‘Jiunge katika mapambano dhidi
ya ujangili wa tembo’ yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City
jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja wa Bia ya Ndovu, Pamela Kikuli
ambao walidhamini maadhimisho hayo. Kulia ni askari wa Wanyamapori,
Emmanuel Katambi.
No comments:
Post a Comment