Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mghamila 'Super D' kushoto akisaini mkataba wa bondia Iddi Mkwela wa pili kushoto ambaye atazipiga october 23 na Issa Nampepecha kulia katika ukumbi wa CCM mwijuma Mwananamala katikati ni Ibrahimu Kamwe 'Bigryth' ambaye ni mlatibu wa mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Iddi Mkwela kushoto akitambiana na Issa Nampepeche mara baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Octobe 23 katika ukumbi wa CCM MWIJUMA Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na mabondia Iddi Mkwela wa Pili kushoto Issa Nampepeche pamoja na Ibrahimu Kamwe mabondia hao wamesaini kuzipiga october 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS
BONDIA IDDI MKWELA AKISAINI MKATABA
ISSA NAMPEPECHE AKISAINI MKATABA
Bondia Iddi Mkwela kushoto akitambiana na Issa Nampepeche mara baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Octobe 23 katika ukumbi wa CCM MWIJUMA Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS Na Mwandishi Wetu BONDIA IDDI Mkwela amesaini mkataba wa kuzipiga na Issa Nampepecha mpambano wa raundi kumi siku ya October 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma mpambambano wa raundi kumi uzito wa KG 61 Mpambano uho ulio ratibiwa na Ibrahimu Kamwe utawakutanisha mabondia vijana ambao ni wadogo sana katika mchezo wa masumbwi nchini na watazipiga raundi kumi siku hiyo pia kutakuwepo na mapambano mbalimbali ya utangulizi siku hiyo akiongea wakati wa utiaji saini mkataba uho bondia Mkwela amesema amejipanga vizuri kumpiga Nampepeche kwani atojali kuwa na bifu na watu mbalimbali ili mradi aeze kuibuka na ushindi wa nguvu siku hiyo nae Nampepeche amesema kuwa anaendelea na mazoezi kama kawaida ivyo mashabiki wake wategemee ushindi tu kwani siku hiyo atakuwa uwanja wa nyumbani na atokuwa na msalia mtume
Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha 'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi.
Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi
|
No comments:
Post a Comment