Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, October 12, 2011

MASUMBWI KULINDIMA ILALA JUMAPILI

Tusker Malt Lager Launches Exciting Dar es salaam Quiz Nite series


By Our Correspondent

Tusker Malt Lager today 12th of October 2011 announced a partnership with Quiznite World on launching the Dar Quiznite series of events set to premier on Friday 21st October at the Golden Tulip Hotel.

Quiznites are events dedicated to providing sessions of informal practical networking with rich information learning and sharing and offer a have a heavy dose of fun, quiz and challenge. They target professionals from different disciplines and are borne out of the realization that building inter and intra personal relations are a necessity to success in any given organization.

They help create a network forum where professionals from different companies, exchange ideas freely and break barriers that enable them pursue new business opportunities from the new contacts, while at the same time putting participants on alert mode as the battle of wits in the quiz session ensues.

The fun events will be held in Dar es Salaam in every quarter and will play host to professionals from all sectors of the economy interested in networking and sharing fun moments in an informal setting.

Speaking yesterday at a press conference held at Serengeti Breweries Limited offices, the Tusker Malt Lager brand manager Rita Mchaki said that Tusker Malt Lager together with other partners will be presenting its consumers in different professions with the exciting social events to enable them build and grow networks amongst themselves.

She continued to say, “This is another opportunity for our consumers to further engage with the Tusker Malt Lager brand in a fun and engaging environment and particularly one that will enable them create and build greater relationships with their counterparts from other sectors. The objective and idea of quiznite is to be the undisputed best networking forum in the region and beyond by suiting everybody’s taste. There is nothing trivial about the fun quiznites deliver because they are well packaged to create a forum for colleagues to work together, take responsibility of their decision and win or lose by their decision.

The quiznites cuts across different industries and participation is open to professionals from the diverse business disciplines without any restriction. It has been designed to allow participants interact with each other like never before, freely exchange information and ideas whilst at the same time enjoying themselves in challenging quizzes. This in fact is the exact nature of functions/ occasions that our sophisticated target audience desires.

Networking is fast becoming a sure way of forming alliances. Many companies will benefit from their involvement in such events throughout the year. Not only are quiznites designed to attract large numbers but also provide the ideal relaxed atmosphere in which to make valuable contacts and meet again with acquaintances.

We strongly believe that through these forums, consumers will be in a better position to learn from each other, grow their careers and businesses like never before and identify as well as exploit bigger opportunities that the market presents”.

The Tusker Malt Lager Quiznite events will be launched at Golden Tulip on 21st October from 7pm. The quizzes will be executed in teams of 10 team members each and there will be questions in the different categories which will include; Current Affairs, Movies, World of Sports, Music, Voices, and Famous Faces.

Various prizes are up for grabs during the events with a grand prize of Tsh. 1,000,000/- open to the winning team.

“I therefore urge all professionals out there to be there for the premier Dar Quiznite series this October”, urged Rita in her closing remarks.

SERENGETI BREWERIES LIMITED (SBL) YAKABIDHI VITABU 20,000 VYA USALAMA BARABARANI


Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Teddy Mapunda akikabidhi vitabu kwa Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani Kamanda Mohamed Mpinga katika hafla iliyofanyika katika makao makuu ya Trafiki leo, kulia ni Meneja wa Mahusiano wa (SBL) Nandi Mwiyombela na kulia ni Inspekta A. B. Swai.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Teddy Mapunda wa tatu kutoka kulia akizungumza katika makabidhiano ya vitabu vya sheria ya usalama barabarani katika mkutano uliofanyika makao makuu ya Trafiki jijini Dar es salaam leo, wa pili kulia Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani Kamanda Mohamed Mpinga , kulia ni Meneja wa Mahusiano wa (SBL) Nandi Mwiyombela na kushoto ni Imani Lwinga Meneja wa Mawasiliano (SBL) na Inspekta A. B. Swai.

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo hii imekabidhi vitabu20000 vya wiki ya nenda kwa usalama barabarani vilivyochapishwa kwa gharama ya shillingi million 36. Vitabu hivi vitagawiwa watumiaji wa barabara nchi nzima watumie kama njia mojawapo ya kurejea na kujikumbushia kuhusu utumiaji na usalama barabarani. Wiki ya usalama barabarani imeadhimishwa tangu, tarehe tatu 3 hadi tarehe 8 mwezi wa kumi mwaka huu.

SBL kama kampuni ya vilevi, tunatambua na tumekuwa mstari wa mbele kabisa katika kupigania unywaji wa pombe kwa ustaarabu . Tumekuwa tukikumbusha katika matangazo yetu yote kupitia bidhaa zetu kwamba unywaji wa pombe kupita kiasi unaweza kudhuru afya ya mnywaji.

Hivi karibuni tulizindua kampeni ya ‘Responsible Drinking’ yaani KUNYWA KWA USTARAABU’ ambapo Kampeni hii inalenga kuwakumbusha wateja wetu kwamba wasinywe pombe na kuendesha gari, ila wawe na dereva maalum ambaye hatumii pombe ndiye aendeshe au watumie usafiri mwingine wa kukodi.

Wiki ya usalama barabarani inalenga kuwakumbusha watumiaji wa barabara kuhusu sheria na kanuni za utumiaji wa barabara ili kupunguza ajali zinazoweza kuepukika ambazo zinasababisha vifo vya watanzania wengi.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni Usalama barabarani unahitaji jitihada kutoka kwa kila mtu’ ambayo imeadhimishwa rasmi kitaifa katiika mkoa wa Kagera.

http://fullshangwe.blogspot.com/

MWANAMUZIKI MUHIDIN GURUMO KUZAWADIWA


MWANAMUZIKI MUHIDIN GURUMO KUZAWADIWA

Na Mwandishi wetu
KAMPUNI ya Tanzania Distillers Limited (TDL) Ijumaa itafanya bonanza la kumzawadia mwanamuziki mkongwe nchini, Muhidin Gurumo katika viwanja vya Leaders Club.
Mratibu wa tamasha hilo, Mohamed Pizzaro alisema jana kuwa maandalizi ya tamasha hilo yamekamilika na mkurugenzi mtendaji wa TDL, David Mgwasa ndiye atakayetoa tuzo hiyo kwa Gurumo kama sehemu yake kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru.
Pizzaro alisema kuwa Gurumo alianza muziki miaka ya 50, lakini alianza rasmi muziki wa jukwaani mwaka 1961 akiwa na bendi ya Kilimanjaro Chacha ambapo mwaka 1963, akajiunga na Kilwa Jazz.
Alisema kuwa baada ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Wafanyakazi (NUTA), Gurumo akawa mwanamuziki wa kwanza kujiunga na bendi hiyo ambayo alidumu nayo mpaka mwaka 1978 alipojiunga na DDC Mlimani Park ‘Wana Sikinde Ngoma ya Ukae’ ambayo alihama mwaka 1986 na kujiunga na Orchestra Safari Sound (OSS)‘Wana Ndekule’.
Alifafanua kuwa Gurumo alirejea Msondo mwaka 1990 ambapo tokea ajiunge huko, hajahama tena.
“Zawadi gani atakayokabidhiwa, hiyo inajua kampuni ya TDL na Mgwasa mwenyewe, lakini ni ‘surprise’ kwa mashabiki na Gurumo mwenyewe,” alisema Pizzaro.
Alisema kuwa shamrashamra za tamasha hilo ambalo pia litakuwa la kumuenzi marehemu Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere litatumbuizwa na bendi ya Msondo baada ya mechi mbili za timu za maveterani.
Mechi ya kwanza itakuwa kati ya Kigamboni na Namangan a mechi ya pili itakuwa kati ya Brake Point (BP) na Mango Garden.

MWENYEKITI TUGHE NHIF ATEULIWA MJUMBE WA BARAZA LA WADHAMNI TUGHE TAIFA


Mpiganaji Baraka Maduhu mwenye koti jeusi ambaye ni mjumbe wa kuteuliwa kwenye baraza la wadhamini la TUGHE Taifa (National Tughe Board of Trustees) kutoka tawi la NHIFwakishikana mikono kuashiria mshikamano daima (SOLIDARITY FOREVER) katika kusimamia haki wajibu na sheria za kazi kwa watumishi wa Sekta ya Afya na Serikali Kuu,wakati wakitambulishwa kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama hicho yaliyopo Kibaha Mkoa wa Pwani kulia mwenye kofia ni katibu wa chama hicho Bwn.Kiwenge A.Kiwenge na Mwenyekiti Dkt. Mrutu.uteuzi huo ulifanywa hivi karibuni na kuhusisha matawi yaliyopo kwenye mikoa sita nchi nzima na kwa Dar es salaam inawakilishwa na bwn. Maduhu.
Wakipanga mikakati jinsi ya kusimamia majukumu waliokasimiwa kwenye Baraza la Wadhamini la TUGHE Taifa hili kuhakikisha maslahi ya watumishi wa Sekta ya Afya na Serikali Kuu yanakwenda sanjari na mabadiliko ya kiuchumi katikati ni mwenyekiti wa tawi la tughe NHIF Bwn. Baraka Maduhu ambaye Ameteuliwa rasmi hivi majuzi kuwa mmoja wa wadhamini wa baraza hilo kitaifa.hongera mpiganaji kwa kupewa nafasi hiyo na uwakilishi mwema.
Katika picha ya pamoja nje ya Makao Makuu ya ofisi ya Tughe Taifa zilizopo Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani kushoto ni Bwn J. Mwankenja ambaye ni mteuliwa mwenza kitaifa anayemfuatia ni kamanda Baraka Maduhu Mwenyekiti TUGHE NHIF,kushoto kwake katibu wa Tughe Mkoa wa Pwani mzee kuyunga na mwisho kabisa ni bi Fortunat Raymond mwenyekiti kamati ya wanawake TUGHE NHIF.

MNYIKA ASAPOTI BONANZA LA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI TP SINZA JIJINI DAR.


Mbunge wa Jimbo la Ubungo,John Mnyika akiwa Uwanjani tayari kwa kucheza Bonanza kwenye Uwanja wa TP Sinza Darajani Jijini Dar es Salaam lililoandaliwa na waandishi wa habari za michezo na Burudani
Mchezaji wa Klabu ya Yanga ,Tery Tegete katikati akiwa na wadau wa TP Sunday Bonanza alipotembelea kuona Bonanza hilo mwishoni mwa wiki

AISHA AWA LULU EXTRA BONGO,CHOCKY AMFAGILIA,WALIOMBEZA WABAKI MIDOMO WAZI.


Mcheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Aisha Mbegu akiimba wakati wa onyesho la Bendi hiyo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Aisha kama Malaika vile kila mtu anatamani anavyoimba

FAGASON KUPAGAWISHA NA STYLE YS MDUDU RUKWA


Rapa wa Bendi ya Extra Bongo,Saullo Fagason akiimba sambamba na shabiki wakati wa onyesho la Bendi hyo kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Haya sasa........................

HUSSEIN MACHOZI SASA SPEED 160 KUPANDA KWENYE CHAT

Msanii wa nyimbo za kizazi kipya,Hussein Machozi akiimba wakati wa onyesho la Extra Bongo kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Akiimba sambamba na mashabiki

KANGA MOJA WAWAACHA HOI MASHABIKI-MEEDA DSM


Mmoja wa wanenguaji wa kundi la Kanga moja akinyesha umahili wake wakati wa shoo ya bendi ya Extra Bongo kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Duh.......
Mh........

MKURUGENZI WA SALLY & MBWEMBWE'S SPORTS WEAR,SPEAR MBWEMBWE AWAPIGA TAFU MEDEA ENTERTAIMENT GROUP

Mkurugenzi wa Sally & Mbwembwe 's Sports Wear, Spear Mbwembwe (kulia) akimkabidhi vifaa michezo Mwenyekiti wa Kamati ya Entertainment Media Group,Rachel Mwiligwa ikiwa ni sehemu ya kuboresha Bonanza linalofanyika kila jumapili katika Viwanja vya TP Sinza Darajani.Akikabidhi mpira
Akikabidhi kadi za mwamuzi
Akikabidhi filimbi

Tuesday, October 11, 2011

WAFANYABIASHARA WAJITOKEZA KUCHANGIA ULINZI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Mashujaa Group Sakina Mbange 'Mamaa Sakina' akizungumza na wana habari
Waziri wa mambo ya ndani, Shamsi Vuai Naodha akisalimiana na baadhi ya wanakamati walioteuliwa kwa ajili ya ulinzi wa jiji la Dar es salaam



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Naodha (kushoto) akipokea pesa taslim milioni mbili kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mashujaa Group, Bi. Sakina Mbange 'mama Sakina' katika wa kuchangia kazi za ulinzi na usalama katika kanda maalum ya polisi Dar es salaam jana












Baadhi ya wafanyabiashara waliojitokeza kuchangia ulinzi



































BONGO STAR SEARCCH SECOND CHANCE


.





AFANDE SELE ADONDOSHA MZIGO MPYA KITAANI.








Aafande ameachia ngoma inaitwa Maskini Hafulii

Akiwa amewashirikisha 20 % na Blacka

huku mzigo mzima ukiwa umepikwa katika studio za Mahewa

OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU






Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi akitembelea mabanda ya maonesho ya miaka 50 ya Uhuru ya Ofisi ya Waziri Mkuu yaliyoanza juzi katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, ambapo alitembelea mabanda mbalimbali na kujionea shughuli zinazofanywa na Idara, Taasisi na Wajasiriamali katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Ofisi hiyo. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Bw. William Lukuvi akitembelea mabanda ya maonesho ya miaka 50 ya Uhuru ya Ofisi ya Waziri Mkuu.

MADA: MIAKA 50 YA UHURU TANZANIA IKO WAPI KI MICHEZO?











Kushoto ni Rajab Marijani Program Manager wa Spoti Kizaazaa Juma Simba na Haika Mrema kutoka Right Click Production katika maandalizi kuanza kurekodi Kizaazaa,Tcc Club Chang'ombe.







Kutoka kushoto ni Mdau wa michezo nchini ABdulrahman Kipenga, na wapili kutoka kulia ni Keneth Mwaisabula Kocha wa kandanda nchini.







Wadau wa michezo kutoka sehemu mbalimbali walikuwepo





















Mwanadada Aliyekuwa mchezaji mahiri wa netball







Juma Simba Mdau wa Michezo nchini akifurahi jambo wakati Cliford Mario Ndimbo kulia akiingia Tayari kuungana na wanakizaazaa katika kutoa yaliyo moyoni mwao.







Mwl. Mkuu wa Twiga Secondary School iliyopo Tegeta wazo Hill Zainab Mbiro ni Mdau na mwanaharakati katika kuhakikisha michezo nchini inafanya vizuri naye alikuwepo.







Keneth Mwaisabula Kocha wa kandanda nchini akielezwa jambo na mwana Spoti kizaazaaa(hayupo pichani)







wadau wa michezo nchini wakiwa katika Spoti kizaazaa-Tcc Club Chang'ombe

TANZANIA GIVES BACK VOLUNTEERS AT KIGOGO.







Tanzania Gives Back (TGB) project in association with European Union (EU), Sumaria and Njia panda program from Clouds fm performed the first volunteerism activation of environmental cleanliness last weekend.





This activation happened on Saturday 8thof October from 9:00am at Kigogo area in district by cleaning and colleting dirties in the most affected areas with the help from the locals. The activity aimed to create a permanent solution to people living within the area by removing the garbage piled along the Msimbazivalley, which pass through the area.





The activation helped and will keep on reminding the Tanzanians to really understand what volunteering means and the fact that by volunteering we not



only help our community but also ourselves.




TGB was first launched in May with the aim of recognizing and acknowledge the Tanzanians who have volunteered all over the country. With such aim it partnered with EU, Sumaria and Njia Panda program so as to help in creating awareness about volunteerism because most people are taking it with emphasis and its importance.





With intention of broadening volunteerism custom in the country, they would provide education through showcasing the work of volunteers and participating in different community activations such as environmental cleanliness, helping the people in hospitals visiting the disables and playing football with the youths.These activations will serve a number of purposes not only to help raise awareness of the program itself but also to demonstrate to those exposed the work that may constitute volunteering.





TGB campaign also aims at awarding people in our own very society who have been volunteering their time to bring an impact to the community by making lives better or sa



ving the society directly and indirectly. If any Tanzanian knows or is aware of a person who vo


lunteers and deserves to be ack


nowledged should send a text message to 15522 by writing the name of a volunteer and the type of activity that person is engaged with.




Volunteers who wish to attend are gladly welcomed in the next activations that will be conducted every Saturday. Send us an email to tanzaniagivesback@yahoo.com or call 0683 225555

Wakazi wa Kinyenze wakipita katika uzio







Mkazi wa Kitongoji cha Kinyenze, Mary Nathan akipita katika njia ndogo iliyofunguliwa na mwekezaji raia wa kigeni alinayemiliki ardhi katika

eneo la kitongoji hicho kilichopo Kijiji cha Kipera Wilaya ya Mvomero

Mkoani Morogoro. Mwekezaji huyo analalamikiwa na wakazi wa kijiji hicho kufunga njia na kuvamia mashamba yao. Wakazi hao bado wanalalamika kuwanjia hiyo licha ya kufunguliwa lakini imetengenezwakama ya kupitisha mifugo kwani ni nyembamba na hairuhusiwi kupitisha gari wala pikipiki jambo ambalo bado ni kero kubwa kwa wakazi hao. (Picha na Mroki Mroki).

Mkazi wa Kitongoji cha Kinyenze, Nuru James akipita katika njia ndogo iliyofunguliwa na mwekezaji raia wa kigeni alinayemiliki ardhi katika eneo la kitongoji hicho kilichopo Kijiji cha Kipera Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro. Mwekezaji huyo analalamikiwa na wakazi wa kijiji hicho kufunga njia na kuvamia mashamba yao. Wakazi hao bado wanalalamika kuwanjia hiyo licha ya kufunguliwa lakini imetengenezwakama ya kupitisha mifugo kwani ni nyembamba na hairuhusiwi kupitisha gari wala pikipiki jambo ambalo bado ni kero kubwa kwa wakazi hao. (Picha na Mroki Mroki).
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...