Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 12, 2013

WAREMBO REDD'S MISS TANZNIA 2013 WALIPOTEMBELEA MARIA STOP KANDA YA KASKAZINI


 Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Maria Stop ya jijini Arusha wakisalimiana na warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Makao Makuu ya Kanda ya Kaskazini mjini Arusha hivi karibuni na kupatiwa mafunzo juu ya uzazi wa mpango
 Warembo wakiwa mapokezi
Warembo wa Miss Tanzania wakifuatilia mafunzo juu ya uzazi wa mpango na wakati salama wa umri wa kuanza kupata mtoto.
 Meneja wa Kanda ya KJaskazini na Kanda ya Ziwa wa Maria Stop Tanzania, Dk Abraham Msaki akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 na kuwapatia elimu ya uzazi wa mpango wakati warembo hao walepotembelea taasisi hiyo mjini Arusha hivi karibuni.
 Meneja wa Kanda ya KJaskazini na Kanda ya Ziwa wa Maria Stop Tanzania, Dk Abraham Msaki akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 na kuwapatia elimu ya uzazi wa mpango wakati warembo hao walepotembelea taasisi hiyo mjini Arusha hivi karibuni.
 Mmoja wa washiriki Salsha Isdori  akiuliza swali...
 Meneja wa Kanda ya KJaskazini na Kanda ya Ziwa wa Maria Stop Tanzania, Dk Abraham Msaki akiendelea kutoa darasa kwa warembo hao.
 Mrembo Prisca Paul akigawa mpira ya kiume 'Condom' kwa warembo wenzake. Mipira hiyo pia hutumika katika njia za uzazi wa mpango pamoja na kujikinga na magonjwa ya zinaa na Virusi vya ukimwi.
 Picha ya pamoja kati ya warembo na wafanyakazi wa Maria Stop Kanda ya Kaskazini ilipigwa.
Meneja wa Kanda ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa wa Maria Stop Tanzania, Dk Abraham Msaki akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 na kuwapatia elimu ya uzazi wa mpango wakati warembo hao walepotembelea taasisi hiyo mjini Arusha hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...