Mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha'.
Ile
hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza
'Papii Kocha' imewarejesha jela tena kifungo cha maisha baada ya hoja za
serikali za kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi. Babu Seya
na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya
kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa,
Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini
wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.
No comments:
Post a Comment