Tanzania students Beach Soccer League ni mcheo wa mpira wa miguu ambao
unachezwa kwenye fukwe za bahari ambayo itakusanya timu za vyuo vikuu
zote na kushindana ili kupata mshindi na pia kutengeneza timu ya taifa
ya vyuo vikuu.
Uzinduzi wa ligi hii utafanyika mwishoni mwa mwaka huu
na timu za vyuo zitashindana katika bonanza la siku mbili kwenye fukwe
za bahari ya hindi na mwanzoni mwa mwaka 2014 ndipo ligi kuu ya mpira huu
itafanyika na kushirikisha vyuo vikuu vyote nchini.
Mchezo huu unasimamiwa na kampuni ya Plan B Solutions (T) ltd ambayo
ina makazi yake Dar es salaam, Tanzania.
Kuanzishwa kwa mashindano haya ya ligi ya wanafunzi ya ufukweni ina
lengo la kuendeleza mawasiliano ya karibu, ushirikiano na nidhamu za
kuimarisha kwa vijana wa taifa letu.
Tutatoa msaada wa kuifundi kwa washiriki kupitia makocha na wakufunzi
wetu waliopata mafunzo kutoka kwa wakufunzi wa FIFA Beach Soccer nah
ii yote ni kuwa na lengo la kupata wachezaji watakaounda timu ya taifa
na vilevile kupata wachezaji watakao shiriki ligi kuu ya soka la
ufukweni.
Plan B Solutions (T) ltd imedhamiria kukuza na kuendeleza soka letu la
ufukweni ndani nanje ya Tanzania na kutoa msaada wa hali na mali ili
kuweza kufanikisha ndoto za vijana wengi wenye vipaji. Kupitia mipango
maarumu tutaendelea kutoa mafunzo na elimu kuhusu hii soka la ufukweni
kuanzia marefa, makocha,wachezaji wa kiume na wanawake,kutoa semina za
mchezo, vifaa vya kuchezea, na msaada wa kisheria na taratibu za FIFA.
Kayombo Grayson
Event coordinator

No comments:
Post a Comment