Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk, Hussein Mwinyi (kulia) akizindua
kitabu cha Orodha ya Dawa muhimu na matibabu katika hafla iliyofanyika
jana jioni kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere jijini Dares Salaam. Kushoto ni Mfamasia Mkuu kutoka
wizara hiyo, Henry Ilunde.
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk, Hussein Mwinyi (kulia)
akimkabidhi Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, ambaye pia ni Kamshina
wa Ustawi wa Jamii, Danford Makala (kushoto) kitabu cha Orodha ya Dawa
muhimu na matibabu katika hafla iliyofanyika jana jioni kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dares Salaam.
Picha na Magreth Kinabo –Maelezo.
No comments:
Post a Comment